Sio kwa dongo hili!!

Mkikutana wote mnaofaa raha sana, mnafaana.
Ni kweli kabisa halafu Mungu wa mbinguni ni wa ajabu, huwa anawapunish wenye viburi vya Pesa na Dharau kwenye Ndoa.

Unakuta mtu ana pesa na Elimu ila haoni Mwanamke wa kuoa anaona wa kusex nao tu (Malaya) na analalamika mpaka utamwonea huruma.

Halafu mwanamaombi wa kawaida mwenye maisha ya kawaida anapata Wife material na hajuti kamwe.

Kwenye suala la kupata Mke / Mume mwema mnaofaana ni kwa MAOMBI TU, pale Pesa na Elimu havina nafasi. Watu hatujajua tu.
 
Ha ha haaa! Nadhan na wahenga wange amend hii statement " In every successful man there is a bright woman..." iwe hivi in every successful man there is a woman to eat the money so brothers msilie na piza! Pambana tafuta kwanza nyingi uwenazo hata ukichunwa uone sawa....
 
Hii resolution nimeipenda, wasake za mantions na za pizza
 
Wewe ndo huwezi kufanya hivyo, kuna njemba kauzu khaa
Hiyo lbd umfanyie mwanamke ambaye nayeye ni walewale wahuni au cheapest au muwe mmezoeana sana na aridhie mwenyewe ila sio kwa siku ya kwanza tu umeet na mwanamke iwe hivyo.
 
Kuna ka uongo kwa mbaaaaaali
 
Niliwahi kuwaambia watu

Kwenye mafanikio huwezi mkimbia mwanamke, chanzo kikubwa cha mafanikio ni malezi bora ya mama wa mwanaume ukubwani.
Nilibishiwa mpaka basii



Umasikini wa mwanaume katika familia chanzo kikuu ni mwanamke,


Kwa hiyo anayeweza kuchagua aina ya maisha ya familia ni mwanamke.



Kimbembe sasa siku hizi

Mwanamke amehama katika majukumu ya familia amekwenda kwenye majukumu ya kutoridhishwa na uumbaji wa Mungu juu yake, wengine wamekwenda mbaaaali sana kufikia hatua ya kutafuta vya familia alikotoka na pia kutafuta vyake na si vya familia mpya anayopaswa kuijenga
 
Wacha we!! Kwahiyo mshajiwekea kabisa kuwa bila wanawake hamfanikiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…