Sio kwa dongo hili!!

come zis way without chap chap
in Asprin voice
Ewaaaa... nami kwa moyo wa upendo kabisa, bila kushawishiwa na mtu, nikiwa na akili zangu timamu... nakukabidhi haka kamchepuko kangu espy ukatumie utakavyo... ukikachoka unirudishie chapchap sana yani

Kiroho safi kabisa...
 
Ngoja tarehe moja ifike, sijui utakuwa mgeni wa nani!!
 
Oprah hakuhitaji mwanaume katika mafanikio yake, rais wa Liberia hana mume, Joyce Banda alikua rais wa Malawi hana mume.
Hii inahusiana nini na comment yangu ulio quote?
 
This could be THE BEST MESSAGE to read since the beginning of the year

No wonder if it ll be on chart for this whole year,

To pray and ask GOD for a good wife to shape your life and trying to guide her's.

Hapo kwenye mke wa kufaa hakunaga ujanja zaidi ya MAOMBI.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio uache kula mansion za watu, you ll catch fire!!

Miss you more swetie.
I guess I'm back lol

Me mbona sijafikia level za kula mansion. Babes wenyewe si unawajua, ile unafungua tu fanta unywe utasikia "vyumba vipo" hahhaha
 
I guess I'm back lol

Me mbona sijafikia level za kula mansion. Babes wenyewe si unawajua, ile unafungua tu fanta unywe utasikia "vyumba vipo" hahhaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Chaaah!! Kweli kazi tunayo mama, wengine wanakunywa mifuko 8 ya simenti kupitia savah!! RRONDO katuchoka!!
 
Mkikutana wote mnaofaa raha sana, mnafaana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…