Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
Tunampenda sana Rais wetu wa tano mtukufu wassira na ndio maana akikosea kufunga vifungo watu tunamind sasa kumbe hadi ka kifungo cha shati nacho..duh sijui kamekatika, itabidi sheria ngowi adizaini vifungo vikali, au sio?
View attachment 226360
 
Dah, hii ndo adha ya kutangaza nia, na bado. Ajiondoe mapema kwenye kinyang'anyiro ili kujinusuru!
 
Kwani tatizo nini Taifa litabidi kuingia gharama ya kumuajiri mtumishi atakaye kuwa ana funga vifungo vya Koti na shati.
 
ala kumbe ni mzoefu eee!! napendekeza akishaapishwa tu mwezi october, tutamwekea mtu special wa kucheki vifugo vyote kama vimefungwa inavyotakiwa.

Manake huku sasa siyo kuteleza bali ni kusudi.
 
Mwili umemzidi ukubwa, haweza hata kuhisi kama kifungo kipo wazi,
hao wagombea urais wapimwe afya vinginevyo itakuwa kumalizia hela kwenye tiba tu.
 
ala kumbe ni mzoefu eee!! napendekeza akishaapishwa tu mwezi october, tutamwekea mtu special wa kucheki vifugo vyote kama vimefungwa inavyotakiwa.

Manake huku sasa siyo kuteleza bali ni kusudi.

Kwani hana mke?
Je dressing room /table?
 
Mimi sioni tatizo liko wapi hapa,ka Wasira anamatatizo kuhusu uvaaji basi watu wa protocol watamuweka sawa ,je mmesahau kuwa naye mzee Mkapa hakuwa makini sana ktk masuala ya pamba?lakini licha ya hivyo walikuwepo wazee wa protocol walimtengeneza naye akawa anaonekana mbele ya dunia.Namshauri muzee Wasira kuanza matembezi ya Gyms ili kujaribu kupunguza mwili kidogo.M/Mpamba:embarrassed1:
 
Back
Top Bottom