Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

10998871_749553988485625_2613580053863134896_n.jpg
 
hahahahaha....mzee wangu tafuta mtu wa kukuvesha.
 
Huyo dogo nimemkubali. Ni kamanda ajaye. Enndelea hivyo hivyo dogo usimsikilize kwa lolote huyo babu yako aliyekaa kushoto. Atakuharibia maisha yako.
 
File Transfer Protocol, FTP mwacheni mzee wa watu, imetosha!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wassira ni hilo tumbo kubwa hawezi funga vifungo vya shati au koti?Piga tizi mzee uwe flexible.
 
Eti ni mojawapo ya watia nia wa CCM, mwe!!!
 
Kazi kweli kweli!

huyu jamaaa akiwa rais, mimi narudi kwa mababu zangu Rwanda!
 
hahhha itakua membe na ofisi yake wameenda kumpiga picha na kuivujisha tena....
 
Hahaaaa nmecheka hadi machozi yamenitoka, wassira atajuta
 
Huyo mzee kazi anayo. Ila kwa nini na yeye asijiweke smart mbele ya camera.?!
 
Back
Top Bottom