Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,100
Dah, hii ndo adha ya kutangaza nia, na bado. Ajiondoe mapema kwenye kinyang'anyiro ili kujinusuru!
Wapi mkuu hizo ni mbinu za kupiga kampeni kabla ya muda wake sasa hivi kwa vituko vyake anajulikana sana