Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

Sio koti tena sasa ni shati la Wassira

Sox vipi?isijekuwa kava blue na nyeusi au nyekundu na njano.
 
10998871_749553988485625_2613580053863134896_n.jpg

Huyo mjukuu ni Chadema .....duu kizazi cha Siku hizi ...naona kuweka V kubwaaaaa ,hana habari kuwa babu ni Gamba
 
Kwani yule "mtumishi" mwenzake ametuma tena?
 
Mwaka wako huu Wassira,ngoja watuwekee na za chumbani kwako.Hizi picha nafikiri zitakuwa ni zile zinachukuliwa na TV screen za Samsung.
 
Tunampenda sana Rais wetu wa tano mtukufu wassira na ndio maana akikosea kufunga vifungo watu tunamind sasa kumbe hadi ka kifungo cha shati nacho..duh sijui kamekatika, itabidi sheria ngowi adizaini vifungo vikali, au sio?
View attachment 226360

Dogo kanifurahisha sana, Chadema full
 
Dogo kanifurahisha sana, Chadema full

Hahahahahahah, Alama ya V uasisi wake sio chadema. Maana yake ni victory au peace and love..... Imeasisiwa huko America na Europe. Inatumika dunia nzima kama swagger ya kupigia picha. Hahahahahha lol
 
Hivi ana uzito wa Kg ngapi jamani maana naona akikaa huwa anajiachia kama tembo!
 
Uyu mzee anaonekana mzembe sana. Na pia atakua hana hobie ya kuvaa na kua smart.
 
Tunampenda sana Rais wetu wa tano mtukufu wassira na ndio maana akikosea kufunga vifungo watu tunamind sasa kumbe hadi ka kifungo cha shati nacho..duh sijui kamekatika, itabidi sheria ngowi adizaini vifungo vikali, au sio?
View attachment 226360
Huo upuuzi inatusaidia nini sisi wana jr?
 
Wanafunzi nao wapo updated na wasira fashion..
 

Attachments

  • 1423755668657.jpg
    1423755668657.jpg
    121.5 KB · Views: 123
Back
Top Bottom