Dampa
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 810
- 1,265
Kafweeee nyumakafeeee mbele.
Kafweeee nyumakafeeee mbele.
Kama azam cola ya baridi iliyochanganywa na ya moto ikawa ya baridi halafu ikawa ya uvuguvuguHivi inafanananye ladha yake, kama Mirinda nyeusi au kama Chemi cola au Mountain dew!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Jaribu unywe CirocIna ladha mbaya kama Moet. Maana ile mimi nikinywa sana glass mbili za zinanitosha
Hapo ndio umeharibu sasa[emoji13] [emoji13] kidogo ungeniambia kama Fursana au Azam coffee hapo kidogo ningenunua[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kama azam cola ya baridi iliyochanganywa na ya moto ikawa ya baridi halafu ikawa ya uvuguvugu
Ya kununuliwa pia hutaki?Hapo ndio umeharibu sasa[emoji13] [emoji13] kidogo ungeniambia kama Fursana au Azam coffee hapo kidogo ningenunua[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
mkuu kwanza yaishe maana nimeangalia avatar nimekuta umemuweka jembe namkubali sana. Trials & Tribulations kama unasikiliza. 3 bless ace hoodKafweeee nyuma
Ciroc No no Noooooo. Siiwezi kabisaJaribu unywe Ciroc
hautajuta
IlikufanyajeCiroc No no Noooooo. Siiwezi kabisa
kwani ladha yake ikooje mkuuIlikufanyaje
Kama juice colakwani ladha yake ikooje mkuu
na inalewesha vizuri au ndo ile kibishoooKama juice cola
Slowly but surena inalewesha vizuri au ndo ile kibishooo
Mkuu laki moja? Duh! Hela hiyo najaza vinywaji kwenye friji langu [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] yaani ni mwendo wa Fursana, Sayona, Juice ya parachichi, juice ya passion, juice ya embe, yaani ni mwendo wa mwezi mzima, Infact hela ninayo.Ya kununuliwa pia hutaki?
Unayo pesa ya hizo local drinks.Mkuu laki moja? Duh! Hela hiyo najaza vinywaji kwenye friji langu [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] yaani ni mwendo wa Fursana, Sayona, Juice ya parachichi, juice ya passion, juice ya embe, yaani ni mwendo wa mwezi mzima, Infact hela ninayo.
Kweli we do differ in literacy levo. Haya, asante kwa taarifa.Mwenzenu anaitwa muu smart kanyolewa juzi kwa mambo ya kitonga na show show kama ivo.
Hahaha, inalewesha mkuunataka kujua ina lewesha au ndo ile una maliza peke yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] swali la msingi kabisaaaaaaa
Kwamba ni lucifer mkuu?Pombe za masonic hiZo mkuu huoni hapo imeandikwa Luc unajua maana yake ?
HahahahUnalewa miezi mingapi hapo mkuu maaana au chupa yote halafu hulew huu wizi kabisa
Ukitaka gongo grade 1 nenda kijiji cha kwadosa mkuumi nataka kiitu kali kama gongo ukionja kwanza unaona striper wanacheza mbele yako
Hahaha, mkuu hivi fursana zipo kweli?Hapo ndio umeharibu sasa[emoji13] [emoji13] kidogo ungeniambia kama Fursana au Azam coffee hapo kidogo ningenunua[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]