
Kreti zima.Hapo ni chupa moko tu au?
We mwenyewe unaonekana bishoo kwenye picha.We jamaa unaonekana bishoo sana
Ina ladha mbaya kama Moet. Maana ile mimi nikinywa sana glass mbili za zinanitoshamkuu hamna kitu pale Belaire ina ladha kama ulanzi hivi tena uliolala (mkangafu)
Hapo sawaKreti zima.
Heee, yaan hii avatar ina elements za ubishoo kweli?We mwenyewe unaonekana bishoo kwenye picha.
nataka kujua ina lewesha au ndo ile una maliza peke yako
swali la msingi kabisaaaaaaaumeona maana kuna siku nilinunua kinywaji kina itwa V & A ilikuwa ni hatari sana nilikunywa chupa nzima ukisimama tu imeisha kichwani nili maindi sana hadi leo si nunui tena.![]()
![]()
![]()
swali la msingi kabisaaaaaaa
Unalewa miezi mingapi hapo mkuu maaana au chupa yote halafu hulew huu wizi kabisa80,000 dar es salaam
kafeeee mbele.Pombe za masonic hiZo mkuu huoni hapo imeandikwa Luc unajua maana yake ?