Unadhani wenye pesa nyingi ndio wanainjoy zaidi? Inahitaji nafsi yenye kuridhika tu na kumpata mwelewa.mmmh sidhani kama ungependa bila furaha ya maisha pesa. Mfano kama unavyo wish ungekua mdada then upate mwanaume mbahiliiiii shombo tupu vip hapa ungependa ku do?
Wewe unataka umtrrombee mwenzio
ki vipi kwa mfano!Tunatofautiana basi
Mkuu ukigongewa na Kaboom ulete mrejesho hapaHahaaa maeneo gani mkuu? Utakuwa mkombozi wangu… .. maana kila baada ya siku mbili utasikia mchumba leo vipi nimemis kweli
inaonekana unatombana sanaHahahaha napumzika nikiwa MP tu
Kumbe kama sipo ndio michezo yako eti?Teh teh..Mkuu haina haja ya kupoteza pesa..Uwe unakuja nakuachia Gheto langu kama la Ngwair
Teheee teheee wenzako hatukumbuki tulienda lini lodge,we inaelekea unakaa kwenu au kama sio kwenu basi unakaa chumba cha hovyo,demu wako pia ni kilaza,maana demu anaejielewa humpeleki lodge kamweSexual addict… . hakika huyu wa kwangu ni sexual addict maana sometimes najikuta naishiwa mpaka hela ya lodge
We na wewe ni mburura sana,hayo mambo ya kuazimana mageto ni ya kizamani sana,we sijui ni wa wapi aiseeTeh teh..Mkuu haina haja ya kupoteza pesa..Uwe unakuja nakuachia Gheto langu kama la Ngwair
Ww si hautaki kushinda home,bora niwaachie watu wenye shida banaKumbe kama sipo ndio michezo yako eti?
Duuuuh! Sasa nishinde home nimekuwa kabati?Ww si hautaki kushinda home,bora niwaachie watu wenye shida bana
Unazurulaje sasa na hilo tumbo..Kaa home tuliaDuuuuh! Sasa nishinde home nimekuwa kabati?
Hehehehehe kwa hiyo ulitaka iwe mara 31 kwa mwezi au?Na kama itatokea akihitaji mimi sihitaji and vice versa?
Yaani siku nne tu kwa mwezi?? Aaaah basi ngoja nikamuone dokita!
Sasa unaoa ili iwe nn,mzizi wa ndoa ni sex,hawezi asiolewe abaki kwao alaaah..Sasa huyo mke ntamjuaje kwamba anapenda kusex kabla sijamuoa?
Unajua kuoa haimaanishi kwamba utapata penzi kila unapohitaji!
Hahahaha. Mkuu una ndoa?Sasa unaoa ili iwe nn,mzizi wa ndoa ni sex,hawezi asiolewe abaki kwao alaaah..
Pole sana...100% ukweli hata mm huwa inanitokea nakaa week 2 sijisikii kabisa kuduu