Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

Sio kila saa mwanaume anataka kufanya mapenzi

Douta usije ukaja kumuiga mama yako..Ana mapafu ya simba huyu..Yani uwa nakoma..Usinione nakonda ukajua nafanya diet..
Hahaha daddy me nimeshindwa kumuiga kabisa na sitaki hata teh
 
Mwanamke akiniambia tu kuwa yuko ktk siku zake, ndinga inalala! Hii kitu ni turn off kwangu.
 
Sijawahi kuwa busy linapokuja suala la kuvunja amri ya 6
 
mm kuna demu mpaka tukaachana...yaan anapenda sex saana..ukipitisha siku mbil bila kula mzigo matusi...na ukigonga anataka sita +...nikaona isiwe tabu atanivimbisha mshipa wa enia....nikaachana naye
Naomba unitumie namba zake Mkuu. Namtafuta wa hivi hivi, nahisi nitaishi kwa raha sana. Tafadhali kamilisha furaha yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom