Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Unadhani wenye pesa nyingi ndio wanainjoy zaidi? Inahitaji nafsi yenye kuridhika tu na kumpata mwelewa.mmmh sidhani kama ungependa bila furaha ya maisha pesa. Mfano kama unavyo wish ungekua mdada then upate mwanaume mbahiliiiii shombo tupu vip hapa ungependa ku do?