SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Be a man of principles" roho hii radhi lakini mwili ni zaifu " tutakumbushana sana hivi vitu lakini siku hizi wanaume tunapitia changamoto kubwa unashangaa umetumiwa nudes na mke wa mtu alafu unajaribu kukausha kwa hekima anakuuliza mbele za watu akikuona " ule mzigo nilio kuonyesha unaupa asilimia ngapi? " Just imagine .........kiukweli ukikosa kujisimamia kidogo tu!! Unajifedhehesha milele