Anatafuta pa kupoozea machungu na kupata faraja.Baada ya kuachwa na asali wa moyo wake akaona at least arudi kwako.
Hajijui kama anafanywa rebound. Hawa viumbe wa kike they always have next man in line.Baada ya kuachwa na asali wa moyo wake akaona at least arudi kwako.
Huyo kajichanganya, mchanganye vizuri kabla x wake hajaanza kumtumia nyimbo za sorryKwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu:
1. "kuwa wewe sio type yangu huwezi kuwa na mwanamke kama mimi".
Unaenda kupigwa hela either ya msiba wa babu yake au ya sikukuu ya Xmass na mwaka mpya.Kwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu:
Jinga wewe,Kwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu:
Kasha ukwaa ukimwi jamaa akimbie kabisaSasa ndugu yangu, usijiingize mazima. Wewe kula mbususu lakini hisia zangu usiweke mazima.
Utaachwa. Tumia kondom ukikutana naye. Vinginevyo utaturidia na uzi, 'ameniambukiza UKIMWI, naomba ushauri' au 'Nimesingiziwa mtoto wa mwanaume mwingine, roho inauma'
Kila la kheri. Narudia, USIDANGANYIKE.
Sawa sawa mkuuhuyo kajichanganya, mchanganye vizuri kabla x wake hajaanza kumtumia nyimbo za sorry
Anajiweza mkuu sio mtu wa njaaUmeandaliwa kizinga wewe shauri yako, huoni x-mass na mwaka mpya zinakaribia aisee[emoji23]
Aaah tatizo amekuja kwako baada ya kukosa alipokua anaamini anastahili, muonyeshe mahali pake panapomfaa "SIO TYPE YAKO" mkomalie hapo tuAnajiweza mkuu sio mtu wa njaa
Suprise ya kutenda dhambi ya uzinzi?Kwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu:
1. "kuwa wewe sio type yangu huwezi kuwa na mwanamke kama mimi".
Ukiona mwanamke anakusumbua ujue Kuna mawiliKwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu: