BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,976
- 8,269
Unataka nini mbona huelewek!
Alipie tu Tangazo"Njooni Inbox, Nauza"
🤣🤣🤣🤣Ww mwenyewe mzuri ? Nyash ipo ? Usikute sura ya baba alafu umenyooshwa na pasi ya philips
Anajifanya, kumbe sio 😅😅. Ila mapenzi doohSababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.
UZI TAYARI.
Mapenzi matamuAnajifanya, kumbe sio 😅😅. Ila mapenzi dooh
Mtajuana wenyeweMapenzi matamu
Hajui kuwa "shack" ni neno la English lenye maana ya pagala. Na ukisema "shacking" inatumika kumaanisha ni kuishi kinyumba na mtu bila uhusiano unaotambulika rasmi.*SHAKING
Na wewe unataka upate.Pole sana best, I hope ulipata
Hapana mkuu sihitajiNa wewe unataka upate.
Ningekukaribisha inbox nikupee ushauri.Hapana mkuu sihitaji
Ushauri wa nini mkuu?Ningekukaribisha inbox nikupee ushauri.
PM me nitakwambia hukoUshauri wa nini mkuu?