beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..
Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...
Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?
Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!
Kalagabaho!