Sio kila mtanzania anahitaji Katiba Mpya, tusilazimishane..

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..

Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...

Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?

Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!

Kalagabaho!

3.JPG
 
Unaweza ukawa mgonjwa wa akili au kama sio hivo unaleta siasa za kishamba au kama sio hivo na ww hujui kilichoandikwa kwenye katiba kwa mtu mwenye akili timamu anaeielewa katiba lazima akubaliane na swala la mabadiliko ya katiba,....kikwete aliona hilo ndo maan akaanzisha mchakato chini ya judge warioba ili tu kutuliza kelele za wanaoijua katiba
 
Unaanza kuita watu wagonjwa wa akili kwa sababu wana mawazo tofauti na yako? Bure kabisa..
 
Unaweza ukawa mgonjwa wa akili au kama sio hivo unaleta siasa za kishamba au kama sio hivo na ww hujui kilichoandikwa kwenye katiba kwa mtu mwenye akili timamu anaeielewa katiba lazima akubaliane na swala la mabadiliko ya katiba,....kikwete aliona hilo ndo maan akaanzisha mchakato chini ya judge warioba ili tu kutuliza kelele za wanaoijua katiba

Mkuu mchango wako umewakilisha wengi!
Keep it up !
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Beth ww ni kifuu hivi kumbe utanisamehe sana uwa nakuheshim mno kitendo cha kuleta uzi wa hivi umeniboa kichizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..

Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...

Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?

Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!

Kalagabaho!

View attachment 648425
Mkuu Beth, kwanza naungana na wewe, one can never miss, what you never had, or you have never known, kama hujawahi onja asali, mtu akikuambia sukari ndio the sweetest thing on earth, utakubali, hivyo ni Watanzania wangapi wanaijua katiba na ni ya nini?.

Kutokujua kitu sio kosa, ila kutokujua kitu ambacho ni muhimu kwa maisha yako ni ignorance, Watanzania tulio wengi ni ignorants sio tuu wa katiba, bali hata haki zetu ikiwemo haki ya kupiga kura na thamani ya kura yako, hivyo kutokana na ujinga na umasikini uliotopea wa walio wengi, wengi hawana uwezo wa kuchagua, by making informed decisions, bali wanachagua kwa mkumbo tuu, baada ya kupata t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja!. Na CCM ndio inautumia huu udhaifu for its advantage, kwa kujizolea ushindi wa ubwete kwenye sanduku la kura kutoka kwa watu wasiojua wanachagua nini!.

Tweweza walipofanya utafiti kuhusu udikiteta na kutoa matokeo yake, mimi niliwapongeza.

UDIKTETA: Hongera Sana TWAWEZA, TZ hakuna Udikteta! Ila, ukiwauliza wajinga, unategemea nini?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Paskali
 
paskali mbona mkuu una poteza utamu wa mada husika-tunazungumzia umuhmu wa katba -je ina umuhimu wowote ikiwa maisha yanaenda vyema ?je wapo ambao haina umuhimu kwao?ila what you try to insert is just biting about the bush-alafu mada zako nyingi uaga sikuelewi mara unamsifia yule mara hana jipya mbona msimamo wako kama mtoto mdogo-mara ulie dakika kidogo ucheke,hapo hapo unune-paskal una jichanganya mkuu
 
hakuna kitu pasipo sababu.. unafikiri wanaolilia katiba mpya hawajaona mapungufu yake..?
wanaodai katiba mpya waendelee kudai na wasiodai waendelee kutokudai
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..

Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...

Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?

Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!

Kalagabaho!

View attachment 648425
Hata sisi hatukumuhitaji nguza uraiani mlawiti yule alipaswa kutumikia kifungo!
Mwenyekiti wenu anafaida naye.
 
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..

Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...

Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?

Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!

Kalagabaho!

View attachment 648425

of course unahitaji kumpatia maelezo marefu sana mtoto wa darasa la kindergarten au darasa la pili kwanini anahitaji kwenda shule kwa miaka mingine isiyopungua 20 ili awe na future nzuri. Zaidi zaidi atakwambia anakwenda shule kwa sababu kuna uji na bembea za kuchezea
 
Na upinzani msipotumia karata hii, 2020 JPM ataitumia kwa wananchi kuwa atawaletea katiba mpya yaani rasimu ya Warioba kati ya 2020-2025, mnamjua jamaa kwa ku-deliver. Zubaeni sasa.
 
tumeshapata rais mzalendo nafikiria Hamna haja ya katiba kuwa na kinga ya raisi... Sisiemu hoyee!
 
Ni kweli ambao hajui umuhimu wa katiba na mnavipato vyenu mmerithi toka kwa wazazi,,,, ila kwa wanaojielewa na kujitambua tunataka katiba mpya
 
Unaweza ukawa mgonjwa wa akili au kama sio hivo unaleta siasa za kishamba au kama sio hivo na ww hujui kilichoandikwa kwenye katiba kwa mtu mwenye akili timamu anaeielewa katiba lazima akubaliane na swala la mabadiliko ya katiba,....kikwete aliona hilo ndo maan akaanzisha mchakato chini ya judge warioba ili tu kutuliza kelele za wanaoijua katiba
Yaonekana una ufahamu mkubwa wa Katiba. Tujuze vifungu vya Katiba ambavyo kwako wewe unaamini ni kikwazo cha maendeleo yangu, yako, yake, yetu, yao, ya sisi, na ya wao?

Kama huna jibu, basi hoja ya mleta mada ina mashiko.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom