Sio kila Mhaya ana dharau

Mkuu nina ndugu zangu wa kihaya na ni kwamba WAHAYA ndio wanaowabagua makabila mengine na kuona kama hawawezi kama wao.
 
Na mnaoweka négative comments kuhusu wahaya na nyie muweke makabila yenu maana nyani haoni kundule...

Hata makabila mengine yana shida ILA sio dharau na ujuaji kama wahaya mkuu.
 
Ni tabia ya hatari mno, lakini kwa kuwa tunajifanya hatuioni hiyo hatari tunaendelea tu

Kimsingi hatupaswi kuifurahia hii tabia ya kubaguana na kupeana sifa mbaya, tunapaswa kupambana nayo, si kwa Wahaya tu,bali pia kwa makabila yote.

Kila kabila lina watu wenye madhaifu binafsi,na hatupaswi kuwatumia kama kielelezo cha jumla cha kabila lake.

INATOSHA SASA!!!
 
Hata makabila mengine yana shida ILA sio dharau na ujuaji kama wahaya mkuu.

Na Chenge aliyewahi kuyaita mabilioni kuwa ni vijisenti naye ni Mhaya?
Ama ndo kusema Wasukuma wote ni wenye dharau, kwa sababu ya huyo bwana?
 
Kifupi ni kwamba wahaya wana roho mbaya, wajivuni, wajuaji na wanadharau sana.

Hapa tunaelimishana....ebu toa mifano hai ya hzo tabia ulizotaja ili tuweze kuweka jumla kwamba ukitaka kujua utambulisho wa mhaya basi ni hayo uliyoyataja! Usije na mifano ya huko mitaani maana sisi hatuwezi thibitisha...
 
Umeanza matusi, hii mbaya. mama yako naye anauza K, alimuuzia baba yako na labda mpaka this moment anamuuzia na kuwauzia wengine.

Utatukana wangapi wanaowasema wahaya tabia zao zilivyo mbona iko wazi tabia za wahaya wengi ni mbaya na za kujivuna muda wote.
 
Hapa tunaelimishana....ebu toa mifano hai ya hzo tabia ulizotaja ili tuweze kuweka jumla kwamba ukitaka kujua utambulisho wa mhaya basi ni hayo uliyoyataja! Usije na mifano ya huko mitaani maana sisi hatuwezi thibitisha...

Huko mtaani ndiko tunakoishi nao na tunawajua jinsi mlivyo kila kabila lina madhaifu yake ambayo karibia majority ya kabila hilo wanayo sasa suala la dharau na kujivuna kujiona ni sifa ya mhaya kama alivyo mkurya na panga.
 
Utatukana wangapi wanaowasema wahaya tabia zao zilivyo mbona iko wazi tabia za wahaya wengi ni mbaya na za kujivuna muda wote.

Unasikitisha sana...

Kuna post ziko humu zinawakashifu vbaya mno wachaga kutokana na maeneo wanayotoka lakini Mimi sioni hoja za msingi pale..
Eti unaniambia wachaga wa sjui machame wanaua wanaume wao wakati Mimi nimemwoa Mmachame na hajaniua sioni la maana! Ila naishia kusema MTI WENYE MATUNDA MAZURI NDIO UNAORUSHIWA MAWE..
 
Huko mtaani ndiko tunakoishi nao na tunawajua jinsi mlivyo kila kabila lina madhaifu yake ambayo karibia majority ya kabila hilo wanayo sasa suala la dharau na kujivuna kujiona ni sifa ya mhaya kama alivyo mkurya na panga.

Kwa hyo kila mwenye dharau ni mhaya? Au ukitaka kumjua mhaya mpaka awe na dharau?
 
Sio kila mtu ana tabia za kabila lake hata wahaya wapo wachache wazuri ila wengi wana matatizo sana hata huyo mkeo inawezekana hana tabia za wamachame ila inawezekana ni suala la muda.
 
Watu walosoma UDSM nadhani wamekuelewa. Every department is headed by Muhaya.
 
Huyo anakuvutia kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…