Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa