Sio kila anaepinga yanayofanywa na serikali ya awamu ya 5 humu JF ni Mwanachadema

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
2,998
2,000
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
 
bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,246
2,000
Mfano mzuri binafsi siwaamini chadema ata chembe ila sikubaliani na mambo kibao ya ssm mfano hili la kuwapiga walemavu, ufisadi, kulazimishwa kuunga mkono mambo ya kijinga simply tu ni mwana ssm, pamoja nahitaji kuwa na mawazo huru, pia kulinda democrasia.
 
  • Thanks
Reactions: MTK

Jotu

JF-Expert Member
May 8, 2012
441
500
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Unahoja nzuri. Watu wanakujadili Kama CDM as if Tanzania imegwanyika kimawazo Katika kambi Mbili za mawazo yaani CCM na CDM
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
3,345
2,000
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
Uhandishi wako unatia shaka.
Kama wewe hauna Chama,iweje mwishoni uwashambulie "wanalumumba"
Fafanua "wanalumumba" ndio kina nani,otherwise utakuwa unafanya usaliti kwa Chama chako (Chadema) wazi wazi.
Ndio maana wenzako wameshindwa kukuunga mkono.
Kuwa huru Mkuu, JF haihitaji watu zembe na waoga waoga,pinga au support ili mradi usimkwaze mwenzako.
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,578
2,000
Mbona ndani ya CCM yenyewe Kuna wasiokubaliana na Magufuli na serekali yake.
 
Danny Jully

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,086
2,000
NI ujinga na UNAFIKI kusema huna chama halafu unajadili SIASA
watu wa namna yako huwa mnanishangazaga sana wewe huna chama ina maana hata kura hukupiga halafu unamlaumu magufuri na serikali yake
Usaidiwaje hapo kwa mfano kama si UNAFIKI ni nini
Mkuu usiifungie siasa kwenye sanduku la vyama. Siasa ndio maisha yenyewe, usiipe siasa tafsiri nyepesi kiasi hicho. Halafu kasome vizuri katiba ya nchi, kupiga kura unatakiwa uwe raia wa Tz aliyetimiza umri wa miaka 18 na mwenye akili timamu. Hiyo ndiyo sifa ya mpiga kura na siyo kuwa mwanchama wa chama cha siasa.
 
simpasa 202

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
300
250
Mwenye akili timamu hujiendesha na kujipambanua mwenyew,,, sio kila mda kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa,, zidumu fikra sahihi za mwenykitiiiii.... Ziduuuuuumuuuu
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
85,585
2,000
Na siyo kila anayewakosoa wapinzani ni mwanaCCM.

Vilevile, kumuunga Magufuli [au hata rais mwingine yeyote yule] kwenye baadhi ya mambo si ukabila.

Watu tusiofungamana na vyama vya kisiasa tupo na kutokufungamana huko kunatuweka huru zaidi.
 
Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
2,998
2,000
Mkuu usiifungie siasa kwenye sanduku la vyama. Siasa ndio maisha yenyewe, usiipe siasa tafsiri nyepesi kiasi hicho. Halafu kasome vizuri katiba ya nchi, kupiga kura unatakiwa uwe raia wa Tz aliyetimiza umri wa miaka 18 na mwenye akili timamu. Hiyo ndiyo sifa ya mpiga kura na siyo kuwa mwanchama wa chama cha siasa.
Mkuu elewa thread yangu
 
Jozi 1

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
6,202
2,000
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
Sigara kali imetumika
 
zeddyjb

Member
Oct 12, 2016
10
45
Watanzania sisi wagum kinoma kuelewa kutokuwa na chama haimaanishi huwez piga kura unampigie atakae kuvutia kwa Sera zake jaman duh, ndo maana tunaibiwa kila siku
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,510
2,000
Andika ID hata mbili tatu unazodai sio wa Chadema. Na ambazo hawana chama mbili tatu pia.

Nikuelewe vizuri.
 
KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,532
2,000
Hakika kabisa. Hii dhana imejengeka sana miongoni mwetu. Kuna wengine hatupendi uovu na uonevu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom