Sio kila anaepinga yanayofanywa na serikali ya awamu ya 5 humu JF ni Mwanachadema

NI ujinga na UNAFIKI kusema huna chama halafu unajadili SIASA
watu wa namna yako huwa mnanishangazaga sana wewe huna chama ina maana hata kura hukupiga halafu unamlaumu magufuri na serikali yake
Usaidiwaje hapo kwa mfano kama si UNAFIKI ni nini
Wewe huna akili kabisa, hata hata hujui nini maana ya siasa.
 
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
Wewe ni mwanachadema kwa kuangalia tu maandishi yako. Kuna wengi sana humu wanaitwa CCM sababu tu wana support baadhi ya shughuli za magufuli na hao mbona hujawazungumzia? Ukitaka kuandika ukweli unatakiwa uwaseme wote wana CCM na Wana CHADEMA. Ukiangalia katika baadhi ya comments zangu wengine wameniita book 7 na matusi juu na wengine wameniita nyumbu, ama hili hulioni? Inakuwaje mtu mmoja akaitwa majina tofauti na kundi moja?????
 
Ni kweli mkuu hata mimi mengi nayapinga japo sina chama.
katika kupinga kwako ama ku support kwako hujawahi kuitwa nyumbu ama book 7? kama ni kweli alivyosema nani anakuita book 7 unadhani CCM watakuita book pale unapomsifu Magufuli?
 
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
Uccm ni lazima uwe zezeta wa ndiyoooo hata kwa yale mtu wa kawaida lazima atasema hapanaaaa
 
Mbona mimi sina chama...
Na hua nampinga yeyote ikiwa sijaridhika na chochote alicho kitenda/fanya.
Hua siangalii chama kila ninapo taka kumpinga yeyote kwa hoja ama yeye binafsi
 
Kweli mkuu mie siwez kuunga serikal hii kisa wanakula rambi rambi wanapiga viwete
 
Great thinkers is just a name of forum lakini halisadifu mahudhui.
Kuna watu wapo humu kazi yao ni kutoa lugha chafu tu, na wamewekwa kwa lengo hilo.
Ukiona mtu anakurushia lugha chafu wala husiumie kwani kuna wapuuzi wamewekwa kwa kazi hiyo.
SWADAKTA!!!!!
ujinga huo upo pande zote, ukiunga mkono jambo lililofanywa/semwa na kiongozi wa ccm au mdau mwenye mlengo huo basi unaitwa mwanalumumba....inakera sana na inaondoa maana ya 'great thinkers'...mleta mada kwanini upande huo hukugusa?
 
Back
Top Bottom