"Sintosahau Maishani"...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Sintosahau Maishani"...!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sizinga, Jul 21, 2012.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nikiwa Chuoni mwaka wa pili, semester ya kwanza a.k.a semester ya 3, ilitokea classmate wangu wa kike alikuwa anafunga ndoa. Na mie kwakuwa nilikuwa foreigner nikawa wa kwanza kupata mwaliko kwenye ile ndoa. Nakumbuka tulikuwa kwenye free time tumerelax kichit-chat zaidi, kwa pembeni nimekaa na dada mmoja mrembo zaidi from A-Town, na alikuwa kivutio kwa kila anayemwangalia machoni, na alikuwa ni gumzo sana kwa wale wenye nchi yao (coz we were foreigners there)...

  Nakumbuka hapo ndipo nilipoletewa mwaliko wa hiyo ndoa. Yule sista pale pembeni akawa anasikia ninavyopewa huo mwaliko na yule classmate!! Basi badae akaniambia nayeye angependa kufuataa na mimi kwenye ile ndoa. Na ile ndoa ilifanyikia mji mwingine umbali wa masaa 10 kwa treni ya umeme toka huo mji nilipo....

  Kumbuka huyu mdada hakuwa na BF then, na hapo mwanaume nikajiona bahati iliyoje kwenda faragha na huyu dada huko kwenye ndoa, tukajipanga vilivyo na after 3 day tukaanza safari ya huko, bila washkaji kujua...

  Nakumbuka ilikuwa majira ya saa 11 jioni tukiwa tunaingia mji mpya ambapo kwa siku 2 mbele ndipo kutakuwa na sherehe ya harusi...tukachukua tax tukaanza kutafuta hotel kwa ajili ya kujistiri(tulishapanda tukae hotelini kwa siku zote mpaka harusi ipite)...

  Kwa haraka haraka tulienda hotel kama 3 hivi tukaambiwa zimejaa!! Hizi zilikuwa ni 3-star hotel. Tukajishusha tukaendelea kutafuta sehemu nyingine, lakini bila mafanikio, kwani baadhi ya hotel tulizopata wakihitaji passport na sie hatuzichukua kwahiyo ikawa ni inshu kulala kwenye hizo hotel, sanasana ni kutokana na matukio ya kigaidi na vitu kama vile...just rules!!

  Ikawa imefika saa 3 usiku hatujapata sehemu ya kulala bado. Basi kwa bahati nzuri tukafika kwenye hostel flani kama zinavyojulikana wakatuambia rooms zipo wakatuuliza passport hakutkuwa nazo, sema mie nilikuwa na ID ya chuo ila nikiruhusiwa ila yule dada hakuwa na kitu chochote, hata copy ya ID hakuchukuwa ikawa ngumu kweli kupata room..ila yule jamaa akaturuhusu tulale pale coz ilkuwa tayari usiku!!

  Taabu sasa ilianzia hapo!! Kumbuka huyu dada sikumtongoza lakini alionyesha feelings za kunipenda(na-declare interest hapa). Tukazama room tumepumzika story nyingi nk. Muda wa kuoga ulivyofika yule binti kaivalia khanga moko...ndembe-ndembe!! na mwanaume sikuona kingi kwa takribani mwaka nzima!! Kanipita kaenda kuoga, mi moyo unanienda mbio vibaya.

  Baadae alivyotoka khanga imelowa vibaya, nikapiga moyo konde nikaenda kuoga na mie. Sasa ikawa naisoma akili yake, nikajipa moyo kwamba huyu dem SIMTONGOZI, kwani nikitongoza itakuwa nimeharibu mno, coz tutalala litanda kimoja then mi kwangu haitakuwa kazi...ni kuvuta ungo tu na kuweka pepeta!!

  basi nilivyotoka kuoga tukaingia kitandani kulala....LOL, binti yule kweli kaumbika ma mie moyo wangu unaeenda kasi vibaya mno!!...nakumbuka usiku nzima ulipita sikumgusa yule dada na wala hata mie sikulala, nikajipa moyo kwamba usiku ujao wa kesho yake hapo lazima nimletee ununda tu huyu binti, I mean lazima kieleweke!!

  Basi ile asubuhi tumeamka vizuri,tumejiandaa freshi kwenda kunywa chai,ghafla tunasikia mlango unagongwa, kufungua tunakutana na muhudumu anatuambia tunaitwa na bosi receiption, tukashuka ngazi tukaenda. Yule bosi akatumabia hatupati tena admission mpaka tupeleke copy za passport, kama hatuna tuondoke...Dah....tukawa hatuna jinsi, tukaenda kuchukua virago vyetu tukaondoka.

  Sasa kwa jana tulitafuta sana room tukakosa..tukawa hatuna tena hamu ya kutafuta hotel, option iliyokuwepo ni kwenda kwa rafiki zetu wa kikenya walikuwa wanakaa nje kidogo ya mji. tukawasiliana nao kweli tukaenda.
  Usiku ulipofika mie nikapangwa nilale kwa mshkaji flani hivi na yule demu alale kwingine. Hili ndilo kosa nililolfanya mpaka nimeandika hii story hapa.

  Yule demu alilala na mshkaji flani mkenya ambaye wakati tupo mwaka wa kwanza alishawahi kumtongoza. Dah...hali ilikuwa mbaya sana usiku ule, sikulala tena ule usiku, nilikuwa frustrated sana!! Nakumbuka nilijipa .... kama 3 hivi that night...na nakumbuka kama ningekuwa na kisu ningewaua hawa wote kwa kitu walichonifanyia...(Mungu aliepusha hii).

  Ile asubuhi nikaenda hadi room ya mshkaji(mkenya) nikawakuta amemuandalia chai,mayai mazito na mapokopoko mengine...iliniuma sana!! Kiufupi Jamaa alikuwa tayari ashamega mzigo( 100% sure). Na hata kwenye ile Ndoa sikwenda tena!!
  Hali hii ilinipelekea semester ya 3 kusup sana masomo yangu(supplimentary). I was totally confused na nilifanya bifu kubwa sana na yule dada na karibu chuo kizima walikuja kujua hii kitu...dah hii siwezi kuisahau kabisa kwenye maisha yangu....

  lakini Mungu mkubwa, hai ilirudi ikwa sawa, na nikasema siwezi tena kuweka bifu na mwanamke yeyote, its waste of time by the way...!!

  Je wewe ni story gani ambayo huwezi kuisahau maisha yako....ningependa ziwe stori za namna hii, zisiwe za misiba na vifo.

  My Regard!!


  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  dah nimeumia kama ni mimi vile
  First ni kuwa haukuwa matured katika kuwasoma girls
  na pili ulikuwa naive sana

  tatu hao wakenya walikuwa few steps ahead yako na walikuwa wameshamsoma mdada...

  wewe ulipigwa bao laini mno la kisigino....

  kila mwanaume ana story kama hii ya enzi za shule aiseee...

  mimi ninazo nyiingi lakini aah....lol
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Utoto kazi, una mauza uza yake.
   
 4. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie nakupongeza kwa kushinda vishawishi, hakuna litakaloweza kukutega.
   
 5. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Kama ni mm ningeweza kuvumilia kweli duh kali
   
 6. N

  Neylu JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah! Kweli ngoja ngoja inaumiza matumbo...! Pole kwa huo mkasa ndugu.
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Aisee The Boss...umeingia moyoni mwangu...yanii we acha tu bro!! Utoto, un-matured, frustrated, naive, no experience, lack of confidence...na chochote kile kisemwe tu, I agree...kinilichoniuma sana hata masomo nilishindwa kuyamudu for that semester...Ingawa niliclear huko mbeleni lakini...!

  Yaani we acha tu Bro....!!!
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180

  Kama ni mauza haya mwenzako yalinisibu...ehh...etist niiyasahau ingawa niliandika hii kitu kwenye diary yangu!!
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kwani kuna rafiki yangu mmoja alinipa moyo sana akaniambia kuna kitu Mungu kakuepusha...which makes sense by the way....sidhani kama nilishinda vishawishi bali niliumizwa sana dear!!
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nafikiri ni guilty pia ilikusumbua
  mdada aliku expose kuwa uko slow na mambo hayo
  so wewe uliumia zaidi
  which was the truth....
  ulipaswa kujisamehe na kukubali makosa yako
  unge heal mapema
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nakuambia nilishapanga ningekuwa na kisu ningefanya chochote ile asubuhi niivyowaona wamekaa kimahaba wananyweshana chai pale...we acha tu
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Daaaaaaaaaah! Sipati picha!
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kwani kuna rafiki yangu mmoja alinipa moyo sana akaniambia kuna kitu Mungu kakuepusha...which makes sense by the way...Hii sentensi ilikuwa inanipa moyo sana bro..!! Na ni kweli nilikuwa guilt na decent sana that time....
  May be hii ndo ilinicost sana!!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hukujichanganya sana uswazi before i guess...
   
 15. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mkuu Sizinga sometimes hizi mambo zinatokea bana..
  Mie kinachoniuma ni pale unapofanya 'uungwana' kwa kufikiri demu atauona huo 'uungwana' wako ili akupe credit..
  Kinyume chake unakuja kusikia kuwa kamegwa kwenye mazingira ambayo wewe uliyaona kuwa hayakuwa 'fair'..
  Binafsi i got the same story like this and when i met the lady next day..she was laughing at me!..nilijiona mdhaifu sana aisee..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  umenikumbusha kuna afisa muajiri somewhere alikuwa mlokole hivi
  na anaponda tabia ya kumega wadada wanaotafuta kazi

  sasa alikuwa anashangaa akisha waajiri wanamegwa na wengine ki hasara hasara
  ilimchanganya mno lol
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nice guys finish last
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Huyo dada alikuwa loose ama?
  ina maana alikuwa tayari suspend night na yeyote? Wala hakufai huyo, Mungu alikuepusha tu. Manake ungeanza kutoka nae siku mngejikuta kwa wazimbabwe nao wangekutenda na ungeumia zaidi. Inaelekea hachagui jembe, mkulima huyo
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ishu hapa sio kufaa wala sio kufaa
  ishu hapa ni swala la kuzidiwa ujanja kwa mvulana wa college na wenzie..
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Duh haya yapo sana na nina story kama hiyo ila japo kwa mara ya kwanza haikutokea ila we ended up to be together and nilikuwa na time za kufuta kile kiliochotokea that day Sizinga inauma sana ila jipongeze may be Mungu alikuw ana kusudi lake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...