chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
mwaka jana dreva wa huyu jamaa alikamatwa TANAPA walidai anatorosha nyara ya taifa.Samahani nilitaka kujua kama hii picha ni halisi au umeifanyia editing, eti huyu kwao ndo handsome?, Ndo maana serikali haitaki kuchezea maliasili?
Samahani nilitaka kujua kama hii picha ni halisi au umeifanyia editing, eti huyu kwao ndo handsome?, Ndo maana serikali haitaki kuchezea maliasili?
Ustaadh MAFILILI, next week Sabodo atafuturisha watu wenye mtindio wa ubongo. USIKOSE kujumuia na wenzako kwenye futri hiyo...Giza nene limetanda ndani ya CHADEMA kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama.
Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama.
Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti.
Kwa ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki, INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa kitaifa
Endelea kupiga ngumi upepo....Chadema tumaini jipya la watanzaniachadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
Hii thread imeanzishwa makusudi kwa ajiri ya kuongeza kipato (buku saba)
Samahani nilitaka kujua kama hii picha ni halisi au umeifanyia editing, eti huyu kwao ndo handsome?, Ndo maana serikali haitaki kuchezea maliasili?
Nakala ya mapato na matumizi ya chadema hata akipata hawezi kuiweka hapa ,Itamuaibisha yeye na mabwana zake. Muhimu kwa kuanzia tujikumbushe kuwa Mzee Jafar Mstafa Sabodo aliwahi kutoa fedha kwa ajili ya kuendeshea bahati nasibu ya mfuko wa mwalimu Nyerere hebu atupe mwendelezo wa bahati nasibu hiyo halafu tutajadili ya chadema.Habar za uongo hazinaga mashiko ili kuthibitisha propaganda zako ambatanisha nakala ya hati ya mapato na matumizi ya budget ya chadema ,hapo ndo utadiriki kutoa povu la mdomo wako kwa kuonesha kiasi gani kimepotea na nani kachukua-buku 7000 za lumumba zisikutoe ubinadamu ukawa unatumika kama toilet paper na Mwigulu Nchemba mwishowe ukaishiwa kumwagiwa tindikali na huyo huyo akakutembeza jukwaani kama msukule Tesha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nawasifu vijana wa LUMUMBA PROJECT mnajaribu sana ila bahati mbaya sana mnaowaambia ni GTs na tunajua mmeshaishiwa sera kama mwigulu kwani mara zote mnachoandika humu ni korasi yake.
Ifike mahali muone kuwa upumbavu wenu unatukinaisha. PUMBA TUPU.
Giza nene limetanda ndani ya CHADEMA kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama.
Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama.
Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti.
Kwa ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki, INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa kitaifa
Lumumba Raha! Kuandika utumbo huu tayari buku 7.