chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
Na ccm ni genge la wanyang'anyi lipi genge lenye unafuu?kati ya wanyang'anyi wa ccm na wahuni wa cdm?tumia akili.
chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
![]()
Kwa hiyo hii ni mikakati ya kuiua CDM kabla ya 2013 kama alivyosema Wasira?
Kua na akili za kisisiem kweli shida utakuta mtoa mada eti nae kuna watu wanamtegemea kwa kupost ujinga kama huu.
Ustaadh MAFILILI, next week Sabodo atafuturisha watu wenye mtindio wa ubongo. USIKOSE kujumuia na wenzako kwenye futri hiyo...
![]()
Kwa hiyo hii ni mikakati ya kuiua CDM kabla ya 2013 kama alivyosema Wasira?
Picha ina sauti kubwa kuliko maneno. Cheki na hii mkuumkuu ungepost tu bila kuweka hiyo picha ,haya mambo gani tena?
Aisee hii picha weka mbali na watoto!
Picha ina sauti kubwa kuliko maneno. Cheki na hii mkuu
![]()
ccm wanatafuta wa kufa naye lakini hawampati kwani CDM ni imala zaidi. Lakini makamanda hizi piacha zingine mnazo tupia hu jf ni hatari wengine tuna soma jf tukiwa na watoto so angalieni wasije kupata mishutuko usiku wakilala. VIVA CDM![]()
Kwa hiyo hii ni mikakati ya kuiua CDM kabla ya 2013 kama alivyosema Wasira?
mkuu, hata fedha za sabodo hujui kuwa tayari zimetafunwa? sabodo mwenyewe nadhani bado hajashtuka
Mafilili umefilllisika kimawazo Lumumba wamekulipa ngapi kupanda lori?chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi
yap!!!mkuu kalieni hayo hayo wakati CHADEMA inaendelea kusonga mbele yaani mtataja majina yoooooote mnayo yajua tangu utoton hadi ukubwan wenu lakini CHADEMA inasonga mbele nafikiri hata wewe unaona political parties development scale inavyo soma kati ya chadema na vyama vingine vya siasa na ccm ikiwemo,hapo ndo utajua lipi ni genge la wahuni na kipi ni chama cha siasa.kazi kwenu.chadema si chama cha siasa bali ni genge la wahuni linalotaka kujinufaisha kwa mgongo wa wananchi