Singo maza wa dodoma anatafuta mwenza

Singo maza wa dodoma anatafuta mwenza

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,608
Reaction score
7,167
Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
 
Wana Matatizo sana hao, warudi kwa waume zao, au waendelee kuwa single! Mfupa haugeuki mnofu kwa Mbwa tofauti!
 
Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
36? Huyo Expired date yake ilikuwa 30. Kwa hiyo: Use at your own risk
 
Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
Mmmmmmmm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom