Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,937
- 12,417
Picha? No reform no election
Atheists hawana nafasi ?dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
usituchanganyeNi mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
kiongozi unauliza makofi polisi?apo pigia mstari. njago uyo ukizabaa ukakula kelbu za nguvu na hamna mahali unaenda kusemelea.Mambo ya ndani ni Polisi au??
Ukiandika mchagga utaulizwa wa wapi? ndio maana nikaandika mmarangu,kwani hakuna mtunasiyejua kuwa mmarangu ni mchagga,ungetuliza ubongo wako kwanza kabla hujajibuusituchanganye
sema wewe ni MCHAGA
mmarangu ndio nan?
mbn mnakimbia asili yenu?
shida nin hasa?
mkuu mambo ni mengi muda mchachedah, nikajiuliza kumbe kuna wanawake wamefikia hali hii
Hakuna mapenzi hapo, bali anatafuta uhakika wa kulaMwanaume awe na kazi,au biashara,
umesoma bio yake huyo dada ni muajiriwa wa wizara ya mambo ya ndani hana njaaHakuna mapenzi hapo, bali anatafuta uhakika wa kula
Ela ya mwanaume ndio inayolisha familia, ela ya mwanamke huwa haionekani.umesoma bio yake huyo dada ni muajiriwa wa wizara ya mambo ya ndani hana njaa
Karibu inboxNi mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe na kazi,au biashara,hana ubaguzi kuhusu dini,awe mkristo au mwislamu sawa tu.
siku hizi tunao tu hata ana watoto wengi we pata mkeKwa hiyo anatafuta mwanaume bwege wa kulea bao la ex wake?