Single.. Single. .Single...Guys join me...

Single.. Single. .Single...Guys join me...

She got a gwan - Mangwair

Ila hatuwezi kuzungumzia one hit wonders bila kutaja Ice ice baby ya Vanilla Ice.

Ingine ni hii Gangnam style. Hii ni surefire one hit wonder.

nimem google vanilla ice naona mambo yalimwendea vibaya baada ya kudanganya biography yake.

hope hujambo.
 
by Marvin Gaye.
Huu wimbo naupenda sana.
Sikua najua ni one hit wonder.

Sexual healing ni classic bana. Haiwezi kamwe kuwa one hit wonder! Na hata kabla ya sexual healing kulikuwa na 'let's get it on' ambayo nayo ni classic.
 
When I'm with You- ?? Edmonds?mdogo wake Babyface..
Je,For You-Kenny Lattimore, unaweza kuwa?
 
Nipe mimi badala yake.
haya mhudumu mpatie manoah supu ya utumbo,pilipili na ndimu za kutosha.
malipo usijali kama kawa niandike kwenye kidaftari nitakuja kulipa pamoja na yale madeni mengine ya mwaka juzi.
 
Last edited by a moderator:
Sexual healing ni classic bana. Haiwezi kamwe kuwa one hit wonder! Na hata kabla ya sexual healing kulikuwa na 'let's get it on' ambayo nayo ni classic.
nadhani stevoh kachanganya kidogo hapa,ndio maana nikawa najaribu kufikiria ina maana Marvin Gaye hana hits nyingine,
ulivyotaja lets get it on ndo nimekumbuka.
 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi, mi bado natafakali heading yako. Na nikichukulia wewe ni She. Nadhani ntakuja PM lol
 
Back
Top Bottom