Single.. Single. .Single...Guys join me...

Single.. Single. .Single...Guys join me...

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,857
Reaction score
1,407
Habari zenu wana chit chat.

Guys tukaribishe week end kwa kutaja masong ambayo ni one hit wonder.
One hit wonder kwa msiojua ni pale msanii anapotoa single nzuri halafu ina hit sana lakini anashindwa tena kutoa nyimbo nyingine nzuri.
Ingependeza zaidi tutaje one hit wonders za East Africa.


Nawatakieni week end njema.
 
She got a gwan - Mangwair

Ila hatuwezi kuzungumzia one hit wonders bila kutaja Ice ice baby ya Vanilla Ice.

Ingine ni hii Gangnam style. Hii ni surefire one hit wonder.
 
Back
Top Bottom