Hasira tena? Emotions zikiwa ON, reasoning inakuwa OFF.
Experience zetu mbaya za maisha tusiwarithishe watoto wetu. You had time to write your story, let your kids write their own stories too.
Narudia, hakuna mwenye haki ya kumzuia mtoto kufahamu mzazi wake wa asili, awe mama ama baba.
Ni wapi nimetetea mzazi kukataa kulea mwanae?
Na mtu atatunzaje mtoto wakati hajui existance yake?
hawa watu waache tu wanafikiri dunia ni kijijini kwao tu hawa ,alafu mtu katika maisha yake hajakutana na maswahiba haya au hajadangwanywa aliwin huyo huyo mwanaume na akamuoa hawezi jua mambo haya
So many things have being said, yangu machache tu, respect and salute u single parents geniveros devota vijance charminglady Zamda Geuka Miss Kim Mamndenyi Babynice NANDERA Victoire msumeno and others.
Haya basi sawaUnajuaje na mie nimechagua kuwa single mum kama yeye??
Interesting.................... by the Boss
mtu mwenye wembe mkononi anajua akifanyaje unamkata ila ambaye hajawahi shika hata wembe atakuambia ni haki mama kumpeleka mtoto amjue baba yake ,wanawake tumefanya kama hatuna mioyo inayoumia vile huyo mwanaume labda kakuacha na mtoto ,kakataa mimba umezaa umemsogeza mtoto kwa tabu zote yeye kaja kuoa tena ana ndoa yake na furaha tele wewe unakwenda na katoto kako pale kujikombeleza atakuambia unamharibia ndoa yake,yule mtoto akiwaona wenzie na baba na mama ataumia zaidi bora akae na mama yake ajue mbele ya safari unampeleka kumwona anasema nashukuru bassii hamtunzi wala nini .yaani watu wengine bwana wanawaona wanaume kama mungu wa duniani vile while kwangu ni heri hawana thamani yyte bora mkono wangu wa kushoto nnaotumia kuchambia
LifeHacher una matatizo binafsi huyo mrangi mwenzangu tu,nimesema ye mpelelezi bwana.
Hiyo movie bongo inapatikana mitaani? Kwa mfano down town kwenye maduka makubwa?
Mhu jamani aliyeandaa hii mada nampa pongezi kwani imenigusa sana na imenifariji na kuona cko peke yangu ktk hili tatizo.ila cha kushangaza jamani baba wa mtoto amenitelekeza na anakula goodtime maisha yanamyiokea mie nilieachiwa mtoto nasaga lami mpaka naona dunia chungu.
Yani mi mwanaume ninaemuamini ni babaangu mzazi tu ndo najua hawezi kuniongopea..lakin waliobaki wote viazi kama si mihogo
Kama wewe ni single mum/dad, aidha ulitendwa ulibebeshwa ujauzito usioutarajia ukaachwa au ulipenda kujizalia au uliletewa mtoto ukatupiwa hapo na mamaake kuenda kusikojulikana.
Uliolewa/ulioa ukaachika au kuachwa na kubebeshwa jukumu la ulezi au ni mjane/mgane umefiliwa na mumeo/mkeo.
Karibu hapa tujadiliane kuhusu changamoto za kuwa mzazi wa pekee kwako wewe kama mlezi na kwa mtoto.
- Kwanza Maswahibu yepi yalikukuta mpaka ukawa single mum/dad
- Una plan gani za maisha ya baadae?
- Mtoto wako analichukuliaje suala la kukosa father figure/mother figure katika makuzi yake?na unafanya jitihada gani kulisawazisha hilo?
- Usingle mum/dad umeaffect vipi maisha yako?
- Ungepewa nafasi ya kuchagua upya mkondo wa maisha yako ungechagua mkondo upi?
Karibuni
kuna wengne wapo kwenye ndoa lkn mume hamsaidii chochote bora hata uwe cngle mom uelewe moja.
Yani mi mwanaume ninaemuamini ni babaangu mzazi tu ndo najua hawezi kuniongopea..lakin waliobaki wote viazi kama si mihogo