Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Kwa hiyo ulitaka alete stori yake hapa halafu watu wasiijadili??!! Wasiotaka kujadiliwa stori zao wamebaki nazo wenyewe.
Hakuna cha inferiority complex wala ukwaju!kwanini useme "ur happy" tu wewe mwenyewe huoni kama hio ni unfinished sentence lazima kuna sababu behind ur happiness!Na kila mtu ana uhuru wa kusema atakalo,you know there is something called freedom of speech ni moja ya haki za binaadamu wote!Kauli kama hiyo nyekundu hapo ni dalili za "inferiority complex". Ni sawa na kauli kama "I am happy to be black". Kwani kuna haja gani ya kuongezea neno black? Kwa nini usiseme "I am happy" peke yake? What does it matter whether you are black,single mum or whatever?
teh teh teh we endelea kudhani dhani tu. Nilisema kwenye moja ya mabandiko kwenye huu uzi kuwa njooni mmwage povu maana nilijua kuna watu kama wewe. Sasa ukikosea ndio hao uliowavulia nguo wanakuwa madubwana? We kama unaweza kuvulia nguo dubwana unadhani wewe unajiweka kwenye kundi gani??!!! Whom you sleep with is a reflection of who you are for most part.
msome vizuri huyo miss, HAJATELEKEZEWA MTOTO, amedhulumu mtoto!
I am proudly a single parent and i have never regretted my decision to become one. Actually becoming a mother has been one of my greatest achievements so far. Waking up each morning besides my beautiful baby is a true blessing and i always thank God for this beautiful opportunity to be called a mother.
Just to recap a bit about my past.....nakumbuka ilikua mkwa 2010 nilipokutana na huyu kaka and right from the word go i knew he was bad news ila i have always had a thing for "bad boys", huwa niko attracted to such. Basi one thing led to another and all was beautiful & dreamy, everything i would have imagined about him came true. He gave me 6 good months of nothing but pleasure & heaven on earth (hihihihihiii). Anyways to cut the long story short, nikaja gundua i was 2 weeks pregnant surprisingly i was at peace with myself. Right from the word go i knew i wanted to have this baby and one thing i was certain about was that there was no way i was getting this dude involved. So taratibu i started cutting him loose, nikaanza punguza mawasiliano, akitaka tuonane mm nampiga chenga. Kuna kipindi akawa anatamani sana tuonane but mm nikawapa natafuta visingizio, luckily tupo mikoa tofauti & didn't have common friends so interaction was minimal.
Nikiwa almost 9 months pregnant nikakutana na ndugu yake kwa bahati mbaya, huyo ndugu yake si akaenda mwambia jamaa. He flew from wherever he was to where i was to come confirm if i was truly pregnant, tena alinifanyia suprise nisijue kama anakuja. We talked a lot that evening, akaniuliza maswali mengi sana & i never gave him the answers he was looking for. Eventually akarudi zake kwao na life likaendelea. He comes to visit whenever he's around & he supports us as a friend na hadi leo hii sijawahi mwambia kama yy ndo baba wa mtoto wangu.
Ukweli ni kwamba i had my reasons for keeping him at bay about my son's father's identity, hiyo ni siri yangu & i believe that God will understand, hopefully my son will come to understand me when he finally grows up enough to comprehend such things.
Being a single parent has been a blessing in disguise, nimepata breakthroughs za ajabu mno katika shughuli zangu & my life has changed for the best. Lifestyle yangu has changed for good & if i had a second chance at life i wouldn't change a thing about it! I am happy & thankful every single day.
Mnisamehe kwa Kiswaglish changu na story ndefu..hihihihiihihhiii... bottom line is i am a proud parent to the most amazing boy under the sun & would forever be grateful to my "bad boy" for giving me such a beautiful baby, by boy is gonna go places, Mungu atupe uzima tu!
Ngoja niwe msomaji
Kuna sababu zinazomfanya mtu aseme "I AM HAPPY TO BE A SINGLE MUM" unajua amepitia dhoruba gani akafikia hapo?Kuna umuhimu gani wa kuwa pamoja na baba asiyetambua majukumu yake?Kuna haja ya kuwa na mtu ambae ukiwa nae uko mpweke kuliko ukiwa mwenyewe?Kuna umuhimu wa kuwa na mtu anayekuongezea mzigo wa maisha na si kukupunguzia?Hamna maelewano mnagombana mpaka mnataka kubwatuana mbele ya mtoto!Ni bora uwe peke yako ujijuje upo peke yako kuliko uwe na mtu na ujihisi uko peke yako!KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA KAMA ILIVYO NDOA NA HIVOHIVO USINGLE PARENTED.
Habari T, miss you! Muda mrefu ujue!
nimemuelewa sana ila soma comments zake zote utaona anavyoshutumu watu
huyu ukute ana watoto sita wa mama tofauti na hahudumiii so hapa anaona na ye pakuponea
So many things have being said, yangu machache tu, respect and salute u single parents geniveros devota vijance charminglady Zamda Geuka Miss Kim Mamndenyi Babynice NANDERA Victoire msumeno and others.
Hapana dada yangu, mjasiria amejitahidi kuwa objective, nafikiri msiwe overtaken na emotions.
Tusiweke assumptions kwamba anayekuwa against your opinion ana watoto nje.
Mkuu watu hawataki kuwajibika kwa matendo yao. Yaani wanataka kuhurumiwa hurumiwa tu.Hapana dada yangu, mjasiria amejitahidi kuwa objective, nafikiri msiwe overtaken na emotions.
Tusiweke assumptions kwamba anayekuwa against your opinion ana watoto nje.
Kwa hiyo wewe unashindwa kuwa wazi kwa sababu kuna watu kama mimi watatofautiana nawe??!!! Huko ni kukosa ukomavu wa kifikra. Wewe kama unaamini unachofanya ni sahihi, jadili kwa hoja kuonesha usahihi wako. Kongosho ametoa hoja nyingi tu kuonesha udhaifu wa uamuzi wa Miss Kim. Na wewe kama hujapenda toa hoja, Sio uje hapa utake kufunga watu midomo!!! Kwanza ukishaweka kitu hapa tegemea kitu chochote tu kwa sababu hapa ni uwanjani kuna watu wa kila aina.Utasemaje unaheshimu maamuzi yake wakati unakaa na kumhukumu kama mkosaji,maisha yake anayoyafanya ni juu yake.Si kila mtu lazima afikirie kama unavyotaka ww.Mimi binfasi namheshimu Miss Kim kwa kuchukua ujasiri wa kueleza historia ya maisha yake hata kama haiwapendezi wote haimaanishi ndo tumdhihaki wala tumpinpoint.Ndo maana watanzania hatuendelei sisi kwasababu hatupo wawazi na ole wake mtu awe muwazi matokeo ndo kama haya!
We utakuwa na matatizo ya akili sio bure. Hao wanangu nilizaa na wewe??!!!nenda kalee wanao!!
usikimbie damu zako kaka!!
ungekua we si mzinzi usingetelekeza watoto
afu mi siko hvyo unavyofkria
sina kinyongo na mtu na nlishasahau nna ndoa yangu nowdays lengo ni kukumbuka wengine wajifunze
Kitambo sana ati umepotelea wap
Kumbe unajua kuna freedom of speech??!!! Acha tuseme basi sasa kinakuuma nini?Hakuna cha inferiority complex wala ukwaju!kwanini useme "ur happy" tu wewe mwenyewe huoni kama hio ni unfinished sentence lazima kuna sababu behind ur happiness!Na kila mtu ana uhuru wa kusema atakalo,you know there is something called freedom of speech ni moja ya haki za binaadamu wote!
Kongosho amesema anayotaka kusema na mimi nimesema ninayotaka kusema sasa kama ww umeamua kuwa mshenga wake thats your business...And point of correction I AM AN OPENMINDED PERSON na nina uhuru wa kusema nikitakacho!kuna watu wengi tu wametoa udhaifu wa Miss Kim ukiachia mbali huyo mshenga wako na kwa busara sana tu!Kwa hiyo wewe unashindwa kuwa wazi kwa sababu kuna watu kama mimi watatofautiana nawe??!!! Huko ni kukosa ukomavu wa kifikra. Wewe kama unaamini unachofanya ni sahihi, jadili kwa hoja kuonesha usahihi wako. Kongosho ametoa hoja nyingi tu kuonesha udhaifu wa uamuzi wa Miss Kim. Na wewe kama hujapenda toa hoja, Sio uje hapa utake kufunga watu midomo!!! Kwanza ukishaweka kitu hapa tegemea kitu chochote tu kwa sababu hapa ni uwanjani kuna watu wa kila aina.
Kumbe unajua kuna freedom of speech??!!! Acha tuseme basi sasa kinakuuma nini?