Single mother's

Single mother's

Si sahihi, huko ni kuhalalisha zinaa. Ni sifa mbaya mwanamke kuzaa mitoto isiyokuwa na baba.

Inafikia kila mwanamme anaeingia nyumbani mtoto anaambiwa mwamkie baba'ko.

Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.

Hakika hayo ya kuiga wazungu hata kama kitu kinakudhalilisha utu wako ni mawazo ya kitumwa. Ndiyo maana wazungu wanatudharau sana.
Hapa unaleta ubishi usio na kichwa wala miguu,hata kama haujaipenda tafsiri lakini itabaki kuwa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si sahihi, huko ni kuhalalisha zinaa. Ni sifa mbaya mwanamke kuzaa mitoto isiyokuwa na baba.

Inafikia kila mwanamme anaeingia nyumbani mtoto anaambiwa mwamkie baba'ko.

Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.

Hakika hayo ya kuiga wazungu hata kama kitu kinakudhalilisha utu wako ni mawazo ya kitumwa. Ndiyo maana wazungu wanatudharau sana.
Kwa hiyo tuwaige waarabu au sio...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.

Hakika hayo ya kuiga wazungu hata kama kitu kinakudhalilisha utu wako ni mawazo ya kitumwa.

Ndiyo maana wazungu wanatudharau sana.
Na watakudharau mpaka mwisho,mbona hapa unacommment huku umenyoosha miguu kwa kutumia simu iliyotengenezwa na wazungu na sio mwarabu,acha kutumia simu,acha kutumia magari Kama kweli hutaki kuwaiga wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natafuta Sana'a hawa single mother Sana'a kama upo karibu inbox ila tuu uwe unajua kujishuhulisha katika kupandisha uchumi......asante hoja nimekabithi....naomba muje pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom