Single mother's

Single mother's

Wakuu habari za saiz...!!!Mko poa jamani?Ok twendeni kwenye Mada husika hapo juu mm ni kijana wa kiume katika harakati zangu nikapataga mwanamke ambaye ni single mother aisee uyu dada anapenda na kucare balaa sasa mpaka najiuliza inakuwaje ma single mother's uwa wanacare na kujali wapenzi wao hivi.??

Au anapalilia ila nimuoe na kwann uyo baba mtoto wake alimuacha uwa najuliza haya maswali sipati jibu aisee hivi kwann ma single mothers uwa wana care sana wapenzi wao wakiwa katkia mahusiano mapya tofauti na mwanamke aliyekuwa hana mtoto nini hasa upelekea single mothars kuwa na mapenzi ya dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wako aliacha kukubania
 
Back
Top Bottom