Single mother's

Single mother's

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,652
Reaction score
3,192
Wakuu habari za saiz...!!!Mko poa jamani?Ok twendeni kwenye Mada husika hapo juu mm ni kijana wa kiume katika harakati zangu nikapataga mwanamke ambaye ni single mother aisee uyu dada anapenda na kucare balaa sasa mpaka najiuliza inakuwaje ma single mother's uwa wanacare na kujali wapenzi wao hivi.??

Au anapalilia ila nimuoe na kwann uyo baba mtoto wake alimuacha uwa najuliza haya maswali sipati jibu aisee hivi kwann ma single mothers uwa wana care sana wapenzi wao wakiwa katkia mahusiano mapya tofauti na mwanamke aliyekuwa hana mtoto nini hasa upelekea single mothars kuwa na mapenzi ya dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umejaribu single mothers wangapi hadi uje na hilo hitimisho?

Ni nini kwanza maana ya single mother? Kuna mtu ana double au triple mother?
 
Sasa unataka tukushauri nini wakati wewe ndio mdau wa hao single mother
 
Sasa unataka tukushauri nini wakati wewe ndio mdau wa hao single mother
kamanda nimeuliza tuu why wanakuwa hivi mana mm uwa napiga na kusepa tuu ila nikiwachaga uwa wana umia sana yani unakuta mtu anakucare balaa sasa najiuliza why aliachwa na akawa single mother nini tatizo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watamu kwa kweli. yaani acha tuu mambo anayonipaga huyu single mama wangu mie mwenyewe hoi. alafu raha sasa kanakwambia bby usijali mie nilishazaa wee tule bata tuu...yaani hapo ndio napata stim yakumgegeda zaidi
 
Stop being negative! wanaume wengi ndio wenye matatizo na wanavuruga future za mabinti kwa kuwazalisha na kuwakimbia.
 
Stop being negative! wanaume wengi ndio wenye matatizo na wanavuruga future za mabinti kwa kuwazalisha na kuwakimbia.

wacha jazba kaka...wanawake ndio mabwege...kwanini wao wanapanua miguu yao hovyo hovyo huku wakijua kuwa mijanaume inasepaga.
kwanza kabisa mie nikikubaliana na wewe kugegedana haimanishi kuwa tumekubaliana kuzaa. hapa wewe tupo hapo kugegedana. ukitaka mtoto niulize kwanza.
 
Tangaza ndoa unasubiri nini mkuu

Sent from my iPhone 6s using Tapatalk
 
Wakuu habari za saiz...!!!Mko poa jamani?Ok twendeni kwenye Mada husika hapo juu mm ni kijana wa kiume katika harakati zangu nikapataga mwanamke ambaye ni single mother aisee uyu dada anapenda na kucare balaa sasa mpaka najiuliza inakuwaje ma single mother's uwa wanacare na kujali wapenzi wao hivi.??

Au anapalilia ila nimuoe na kwann uyo baba mtoto wake alimuacha uwa najuliza haya maswali sipati jibu aisee hivi kwann ma single mothers uwa wana care sana wapenzi wao wakiwa katkia mahusiano mapya tofauti na mwanamke aliyekuwa hana mtoto nini hasa upelekea single mothars kuwa na mapenzi ya dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si unafahamu timu inayoongoza kwa goal moja au zaid, inavyolinda isifungwe
 
wacha jazba kaka...wanawake ndio mabwege...kwanini wao wanapanua miguu yao hovyo hovyo huku wakijua kuwa mijanaume inasepaga.
kwanza kabisa mie nikikubaliana na wewe kugegedana haimanishi kuwa tumekubaliana kuzaa. hapa wewe tupo hapo kugegedana. ukitaka mtoto niulize kwanza.
All in all women are the victims. Sometimes anakujulisha yupo kwenye siku za hatari but you don't care sababu ya mizuka. Hasa akizingatia ushampa promise nyingi tu za future and she believed in you, she can't resist much. Halafu kama wewe unafahamu hupo tayari kua baba you can pull back hana control na orgasm yako ni wewe mkuu. Kuna many innocents girls wamekua single mothers sababu watu waliowaamini wamewasaliti na sio kua walikua vicheche.
 
Back
Top Bottom