Single mother's

Single mother's

Aisee...

Selfish hypocrite.

So what is yours!!? U wish us to agree with you even in stupidity!??

I never wish for you or any other being to be anything but themselves. Be your own self.

Stupidity is virtuos. Those who think others are stupid they are super stupids.

I am a or rather THE mother.
 
I never wish for you or any other being to be anything but themselves. Be your own self.

Stupidity is virtuos. Those who think others are stupid they are super stupids.

I am a or rather THE mother.
Bye....

Ntakuharibia siku bure.
 
Ulijidai ku beep na Kingereza uchwara ukakuta kumbe ni wrong number.
What!!!

Umelala umeamka bado waniwaza tu.

I don't want a debate nanny....

It won't end well and I don't wanna ruin my festivity...

So please...

Enjoy ur time.
 
kwani waarabu wanawaitaje wanawake wenye watoto ambao baba na mama zao hawapo au hawaish pamoja
Wanawaita Mama "fulani", fulani likiwa ni jina la mtoto. Kama tuitanavyo Tanzania. Hii ya "single mother" si utamaduni wetu.
 
What!!!

Umelala umeamka bado waniwaza tu.

I don't want a debate nanny....

It won't end well and I don't wanna ruin my festivity...

So please...

Enjoy ur time.
Get lost fag.
 
wacha jazba kaka...wanawake ndio mabwege...kwanini wao wanapanua miguu yao hovyo hovyo huku wakijua kuwa mijanaume inasepaga.
kwanza kabisa mie nikikubaliana na wewe kugegedana haimanishi kuwa tumekubaliana kuzaa. hapa wewe tupo hapo kugegedana. ukitaka mtoto niulize kwanza.
Ni mama au jina lake tu. Hakuna kuongeza wala kuzidisha, muite mother pekee kama unataka uzungu usiokuwanao.


Baba awepo, awe kafa, awe kayeyuka, mama anabaki kuwa ni mama tu.
Punguza Jazba
 
Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.

Hakika hayo ya kuiga wazungu hata kama kitu kinakudhalilisha utu wako ni mawazo ya kitumwa.

Ndiyo maana wazungu wanatudharau sana.
Kuna watu wanafuata na kuishi katika Human Rights kama wazungu? But still wanatumia hii Term
 
Back
Top Bottom