Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

Siwezi kusimama mahala popote pale kutetea single mother never ever!!
Nitasimama mahala popote pale kuwa tetea na kutoa misaada kadiri ya uwezo wangu kwa wajane tu. hata biblia haijamuandika popote single mother kuwa atetewe wala kusaidiwa biblia inamjua mjane tu.

Kutetea single ni kutetea uovo 100% single mother hata awe dada yangu ama mtoto wangu lazima nikemee.Biblia yangu inaniambia mwanamke mpubavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!

Masingle mother wengi kilicho waponza ni tamaa na kiburi chunguza vizuri utanielewa! kwenye mia wali lizwa na wanaume hawafiki hata15 walio baki tamaa,umalaya na kiburi niko hapa nimekaa.

Unaingia kwenye mahusiano na bint baada ya muda unagundua mpo wa3 mara nina mimba yako utakubali?

Acha kujipunguzia heshima hata jamii itakushangaa
 
Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers.

Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo majanamke mengine mauaji (slay queens) ambayo yanaua watoto kwa kutoa mimba na mnayashobokea.

Single mothers, wamefanya kazi ya Mungu, wamelea uhai miezi tisa tumboni na kuleta kiumbe duniani. Kwa kudra za Mwenye-Enzi- Mungu, kiumbe hicho kinaweza kuwa mtu muhimu na kutoa mchango mkubwa kwenye ujenzi wa taifa letu.

Kudhihaki single mothers ni sawa na kuchochea utoaji wa mimba, jambo hili likome mara moja. Waache wakina mama wanaopata mimba walete viumbe duniani. Mungu amesema nendeni duniani mkaijaze dunia, hongereni akina mama mlioamua kulea watoto wenu

Pamoja na hayo niliyoandika hapo juu, single mother ni reflection ya udhaifu wetu wanaume, yaani kuna mpuuzi mmoja ambaye anashindwa au anakataa kutimiza wajibu wake. Uwepo wa single mothers ni aibu kubwa kwetu wanaume, yaani hatufanyi wajibu wetu

Kwa kumalizia, single mothers wanapitia madhila mengi, haswa wale wasio na kipato cha kutosha na cha uhakika,. Hivyo ni rai yangu, kwa wale wababa wenye uwezo tuwatunze single mothers kwa manufaa mapana ya watoto na jamii nzima.

Kwa wale wenye changamoto za afya ya akili, uwanja ni wenu kuja kubisha na kupinga madini haya

Nimetoa uzi huu kama nilivyomuahaidi Demi
Bila kupima vinasaba, hata kama baba yupo na mnafanana, anaweza akawa ni baba mlezi bila yeye kijijua, so mama ni uhakika kuwa ni mzazi wako bila ya shaka
 
Kuna single maza mmoja hivi tuna heshimiana sana. Katika mazungumzo yetu aliwahi kunishi sana niwaepuke single mother mithiri ya swala aonaye Simba.
 
Mimi nadhani kila kesi inajitegemea, hatuwezi ku-generalize tatizo la mtu mmoja likawa ni la wote. Kama nilivyosema single mothers ni mama za watu na ni kama mama yako. Tuwaheshimu akina mama
Mimi ambacho sijaelewa ni je wewe unatetea usingle mother kwamba ukubalike kama namna nzuri ya kulea watoto wetu?

Unasema kwamba kila anapotokea single mother then 100% chanzo mwanaume?🤔

Unasema ni mama zetu,hii sio generalization ya umama,yaani umeweka kundi moja wajane,wanawake watiifu waliokutana na wanaume wahovyo, wadangaji waliojiapiza wanaweza kulea bila mwanaume, wanawake waliolala na wanaume za watu wa makusudi then mambo yakafeli,wanawake waliosaliti ndoa zao na wakaachwa bada ya kugundulika? Kwann unaweka wote kundi moja hawa wote ni single mother mzee?🤔

Okay umekuja kuwaombea amani kwenye jamii, ni jitihada gani unafanya kuwazuia kabisa ambao saa hii wanafanya kila jitihada kuwa single mother wa baadae au wewe ndio wale wale wa kumshambulia bata akijisaidia ila kuku unakaa kimya?

Mzee, kabla haujaandika jambo ni vema kujitathimini unacholenga kupeleka kama ujumbe kwenye jamii. Kuna watu walituacha vibaya sana tena kwa dharau na sasa wanatutafuta wakiomba msamaha wakihisi tumewaloga kumbe ni matendo yao yamewaponza. Wanalea watoto bila wanaume waliowachagua wao kuwepo.

Tunapokuwa tunaandika nyuzi za kukemea usingle mother ni very personal sababu tunawajua. Usichanganye wajane na masingle mother mzee. Usichanganye wanawake wenye discipline ya maisha na masingle mother.

Kama hauwajui masingle mother sisi tunawajua tena vizuri sana wakiongea tu sentence mbili tunajua kuwa huyu ni single mother. Hawa ni mawakala wa shetani na wapo kwenye jamii kuivuruga. Mimi ukiniweka hapa na single mother sentence dakika tano tu nitamuumbua na atarudi kwenye asili yake ya ufreemason.

Wewe kuwatetea ni namna tu ya kusema sijui ninachofanya. Masingle mother huwajui mzee. Umeshawahi kuona gaidi kakimbilia msikitini kujificha. Ndio namna single mother hukimbilia kundi la wajane kujificha akisema nae ni mhanga kumbe ni malaya aliyepatikana.

Mzee wajane hutia huruma na hata vitabu vimetuagiza kuwapa msaada na kuwahurumia wajane maana hawakutaka kuondokewa na mume.

Ila single mother amechagua kuwa hivyo shetani mkubwa huyo. Single mother ameona ni sawa kuwa na mtoto nje ya utaratibu. Wewe unadhani neno single hapo linamaanisha wimbo wa msanii?

Single maana yake ni mtu asiye na mahusiano rasmi. Single mother ni mwanamke aliyechagua kuzaa huku akibakia kuwa single yaani hana ndoa wala uchumba. Yupi hivyo by choice.

Kama haujui vitu uwe unauliza acha kuvaa vita ambayo hujui unapigana na nani.
 
Siwezi kusimama mahala popote pale kutetea single mother never ever!!
Nitasimama mahala popote pale kuwa tetea na kutoa misaada kadiri ya uwezo wangu kwa wajane tu. hata biblia haijamuandika popote single mother kuwa atetewe wala kusaidiwa biblia inamjua mjane tu.

Kutetea single ni kutetea uovo 100% single mother hata awe dada yangu ama mtoto wangu lazima nikemee.Biblia yangu inaniambia mwanamke mpubavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe!

Masingle mother wengi kilicho waponza ni tamaa na kiburi chunguza vizuri utanielewa! kwenye mia wali lizwa na wanaume hawafiki hata15 walio baki tamaa,umalaya na kiburi niko hapa nimekaa.

Unaingia kwenye mahusiano na bint baada ya muda unagundua mpo wa3 mara nina mimba yako utakubali?

Acha kujipunguzia heshima hata jamii itakushangaa
Umesema vema sana. Kumuweka single mother sehemu moja na wajane ni sawa na kuwachanganya Al Qaeda, taleban na Boko Haram ndani ya msikiti m'moja na waislam halafu useme hawa wote ni watu wema.
 
Hawa hapa
IMG_3422.jpeg
 
Jamaa anaiomba kiaina kwa kipusa mmoja hapo mwisho wa uzi kamtaja😁😁😁,udhaifu kiwango cha SGR.

Signs of SIMPING, mwanaume wa kweli na anayejiamini hawezi kujibebisha( kusimp) kwa mademu ili apate utelezi. Huu ni udhaifu mkubwa na type hii ya NIGGERS huwa wahongaji sana na huishia kubambikiwa watoto.

waungwana huyu mleta uzi msimchukulie serious sana yupo anatega wavu. Ni MVUVI HARAMU tu wala hana nia ya dhati kutetea hayo MAGUMEGUME SHINDIKANA MASINGO MAZA.

Mleta mada amejitaidi kuficha dhamira yako ila tumemsanukia.

#SINGO MAZA CHAPA ILALE,KUJENGA KIBANDA MWIKO!!!

#Kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
Kabisa,anatakiwa kukemewa na asemwe kweli kweli.
 
Umesema vema sana. Kumuweka single mother sehemu moja na wajane ni sawa na kuwachanganya Al Qaeda, taleban na Boko Haram ndani ya msikiti m'moja na waislam halafu useme hawa wote ni watu wema.
Huo ndio ukweli. Single mother akemewe sio kutetewa mtu kashindwa kujiheshimu mwenyewe hiyo heshima anayoitaka aipate kwa nani?
 
Kama wanawake wangekuwa nauwezo wakutorudi nyuma basi hawawenyewatoto tungewapa kipaumbele ila kitendo chakushukuru walipo na kufurahia walikotoka hili ndochanzo chayote nakatika kumi wanaoweza kukataa kugeuka nyuma ni wachache hata hivyo mliofiwa na waume zenu hii vita haiwahusu muwe naamani
 
Usimtetee SINGLE MOTHER kama haujawahi kumsikiliza aliyemzalisha na kumtelekeza.

Wakumtetea ni mtoto asiye na hatia, na lio ndani ya uwezo wetu WANAUME, ukiingia kwenye mahusiano na single mother iwe ni lazima akukutanishe na baba wa mtoto myajenge namna atakavyomuhudumia mwanae kupitia wewe uliyekubali kumpenda mzazi mwenza wa mtu.

Hilo likiwa gumu, Chapa Sepa! na Kauli mbiu iwe ""HATULEI MTOTO WA MTU" ..!!
 
Single mother akemewe Aache tabia mbaya tutakuwa na jamii ya ajabu sana ya kutetea single mother.

Mjane ndo wa kutetewa maana ahakupenda,hakuomba wala hakutarajia.
 
Single mother akemewe Aache tabia mbaya tutakuwa na jamii ya ajabu sana ya kutetea single mother.

Mjane ndo wa kutetewa maana ahakupenda,hakuomba wala hakutarajia.
single mother si TATIZO, kuwakemea na kuwakejeli ni primitive STIGMA, kuna wengine wameamua kuwa single mothers, na je mbona hamuwazungumzii single fathers responsible for single mothers??
 
single mother si TATIZO, kuwakemea na kuwakejeli ni primitive STIGMA, kuna wengine wameamua kuwa single mothers, na je mbona hamuwazungumzii single fathers responsible for single mothers??
Unamzungumziaje single father ambae anaweza kuoa muda wowote akihitaji?
Mwanaume akiwa hana mke kama polepole wala hakuna shida yoyote ile ona wanavyosakamwa wakina mudee lakini umewahi kuona wapi polepole akiongelewa?
 
Wengi humu ni vilaza

Mwanamke anaweza akawa single mother kwasababu nyingi ikiwa pamoja na kifo cha mume wake

Hoja nyingi humu zinalalia kwa single mother walio opt kuwa single mother

Tumieni akili, kama mnazo
 
Back
Top Bottom