Sasa single maza wanaanzia wapi kulalamika wakati wanajijua ni wakosefu? Mwanamke kuzalishwa akiwa kwao na wala hajaolewa ni fedhea kubwa sana kwa familia. Subiri upate binti apigwe mimba na njemba isiyokua na future nae ndio utajua maumivuMM naona vijana ndo mnahangaika na single mothers.
Kama kila mwanaume anamchakata single mother na kuondoka zake hawa wanaofungua mada za malalamiko ni kaka zao? Kwanini wenyewe hawafungui wala hawana mada za malalamiko, maangalizo kama vijana?
Inawezekana ni watamu sana ila ndo hivyo kutwa kuwashushia vitu vizito utosini vijana ndo maana kelele nyingi.