Shukuru sana MunguDad died when I was 2...my mom became a single mom.... but she got married to my step dad and I'm enjoying staying with my super super step dad
brother taratibu whatever it is hii si kauli nzuri kwa mtoto wa kike, bado anastahili heshima upendo na kuthaminiwa.
tunaweza tukaweka ligi hapa single mothers na wasiozaa mkakuta single mothers ndio wanaongoza kimvuto.
ila hili swala nadhani hata single mother mnawageneralise sana lakini kiukweli wapo kwenye 3 category.
.1 wajane- hawa ni total innocent na bible inatuhamasisha kuwaowa hawa na mungu atakubaliki.
2. under 28 years old- acheni masikhara kabisa kuna madem bomba sana age hii ila accidentally wakajikuta walizaa na kuzinguana na waliozaa nao, lakini ukija kwenye umbo la kike ana sifa zote na anawotoa knock out hata wale ambao wapo vyuoni, mademu wa aina hii wanaume ni laxima wavae mabomu na kujilipuwa potelea mbali come what may.
3. single mom over 35years never married before- hapa ndipo kwenye mtihani kama upo kundi hili na haumiliki uchumi mrefu kwakweli nalihurumia kundi hili, hawa ni most stress single moms wanaotowa uchi hata kwa watoto wadogo na madreva tax. je wewe upo category ipi hapo?
Hawana mapenzi ya kweli. Kwao mtoto ndio was thamani. We we no 2.ameshindwa baba was motto wewe atakupendea less. Wanatabia za kuua unapokuwa name Mali. Kukufanya ndondocha. Wachapeni Keisha msepe. Used . Nani asiejua thamani ya usichana? Hata wao wanakumbuka usichana wao. Msiwaoe lambda kama alizaa akiwa shule.lakini alieishi name bwana hafai zaidi ya kuwa poneo tu.data kama ana v8 . Unakuwa name poneo LA ukweri ndoa no.
General point:
Jambo nililojifunza kwa miaka hii michache niliyoishi duniani hapa;
Love hath no definition nor formula.
Utakapojikuta unampenda mtu, utastaajabu yale uliyokuwa unayaponda ndo yanakuvutia kwake.
Back to topic:
Hivi, hili suala la mama kwenda kuchukua fedha ya matumizi kwa mtu mwingine ilhali kaolewa kwingine linatokeaga wapi? Mimi nimezoea kwamba ukiolewa, anayekuoa anachukua majukumu yote ya kulea nyumba au? Maneno ya oooh sijui vikao vya shule ataenda na baba yake na mkeo, au akiumwa sijui nini...I don't htink ni sahihi ndiyo maana naona vijana wengi wanatoka povu hapa.
My stand is, nimekuoa - nimependa boga na ua lake - nitachukua jukumu la baba kwa mwanao. Mimi ndiyo baba. ALL and I repeat ALL CORRESPONDENCIES (be them to your kid or my wife) zipitie kwangu hadi pale mtoto atakapofika 18 years.
Nje ya hapo hujaoa single parent umekuwa co-parent tu.
Second, raise your kids to respect each other bila kusema huyu wa fulani na huyu wa fulani (it begins with you..parents). Mkianza tu kuwatenga..problems.
Mwisho, Makomana et al, usitukane mamba na hujavuka mto..am just saying!
Cc: Mtambuzi - jamii inahitaji tena lecture yako ya kutokuwa defined kama jamii inavyotaka.
I see wewe unacheza makidamakida kweli, umeoa mama huja-adapt mtoto, usijiingize king hata siku moja katika hili unless huyo mtoto kama katelekezwa na baba yake.
Tena usiombe mwenye mtoto ndio niwe mimi, ugonjwa kidogo tu mtoto anaenda kutibiwa india na naondoka na mke wako tukiwa kama wazazi kwenda kusimamia matibabu ya mtoto.
wewe usubili tu mpaka turudi vacation isiyo rasmi.
word!True love sees beyond all that.
When a man truly loves you, he sees beyond the kids you already have.
So worry not, what is meant to be will be.
Kumbe kazalishwa huyu akiwa home?..hahahahhaha nw anajifanya anasubiri mr right..pambafuu
..nadhani ni vizuri mki date Na single fathers, mnakuwa Na interests zinazoendana, kuongelea kuhusu watoto..hata mahusiano yenu yakikomaa ni rahisi kuwafanya watoto wakutane nabkufurahi zaidi, lakini eti saivi unikalishe Na single mama, akianza Tu kuongelea utundu wa mwanae naanza kuboreka..
Heheh Mbona wanawake wengi sana ni single moms...sema tu wengi wao ni single moms kwa watoto marehemu (waliowaua). Wachache waliamua kusimama imara kubeba na kukabiliana na changamoto zote kwa ajili ya watoto wao na Ndio Hawa wanaopewa maneno ya kukashifiwa.
So mwanaume anaona fahari Kuishi na muuaji (asiyemjua) kuliko Kuishi na life saver anayemjua?
Mimba zinatolewa sana asikwambie mtu, mtu ametoa mimba Hadi 6 jamani sasa Huyu si ni screpa tayari?? omba kupatiwa mke mwema mengine yote yatakamilika.