kwa mtu anayependa watoto hawezi kuboreka akisikia utundu wa mtoto wa mtu......mim navyopenda watoto napenda sana kusikia mtoto wa mwezangu anavyofanya utundu....
Kumbe kazalishwa huyu akiwa home?..hahahahhaha nw anajifanya anasubiri mr right..pambafuu
Umenena mkuu but hayo yote si tunapaswa kuyaongea kipindi cha uchumba?
Childish boooooooooooooooooooooooooooooooooooooo:baby::baby:
Pia uombe usizae nje ya ndoa/usichepuke na kusababisha mtoto kulelewa na mama pekee. Hali upendi watu waliolelewa na mama pekee.Nimeshamshukuru..........
Naomba nikueleweshe kitu kimoja mdogo wangu,Single mama sio lazima awe amezaa na mtu af wakaachana,anaweza akawa hata yule ambaye kafiwa na mume analea watoto au mtoto mwenyewe..
Ukiwa unakomment base pande zote hizo mbili
Hii kitu huwa ina complications nyingi tu, anaweza akawa anaonywa kama watoto wengine wa nyumbani, mtaa wa pili wakaja na hoja kuwa mtoto anateswa! Na ndio maana wengine huwa wanaachwa tu wafanye wanachotaka kuepusha shari, kumbe mwisho wa siku haina msaada kwa mtoto. Mie huwa nina imani kuwa kila mama alee mwanae......
Kama umeelewa naomba uonyeshe busara zako kwa kuwataka radhi kaka km na Vaislay na mimi pia kwa majibu ya ajabu ambayo umekuwa ukitoa wakati ukiwa kwenye state ya kutoelewa maana ya single mama.hapo sasa tupo kwingne hata mm naweza kuoa single mom kama tu:
aliyezaa naye alifariki na zaidi ya hapo. Morg unaniita mdogo wako mm unaujua umri wangu? Kwan ww una miaka mingap?
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"
..napenda watoto pia, tena Sana! Lakini Kuna wakati ukiwa katika hali ya mahaba na mwenzako, mawazo yake automatically yapo kwa mwanae na huwezi kumzuia kufanya hivyo, vile ni damu yake.hiyo inapunguza bond kati yako na mwenzako. Naongea kwa uzoefu hapa...
,..baadhi ya single parents wapo so frustrated na maisha, wanahitaji father figure in the house kwa sababu ya presha toka kwa watoto, wakiuliza "mummy mbona sisi hatuna dad, mbona kina James wana dad, anacheza nao..mbona dad yetu haji kuishi na sisi?"..hilo ni tatizo wengi hawajui kulitatua, hayo ya kuwalisha, kuwavisha na kuwapeleka shule most ladies sasa wako very independent lakini a father figure in the house plus loneliness is killing single moms!!
Hapo kwenye red ndio jibu au tatizo zima lilipo... jamii. Ukiwalaumu wanaume unawaonea, nadhani mind set ianze kubadilika kwa jamii nzima.
Wanaume wengi wanasita kuoa wanawake wenye watoto sio kwa sababu wao wanawaona hawana thamani, bali kwa kuhofia jamii, hasa ndugu, jamaa na marafiki watawachukuliaje. Mimi na wewe ni sehemu ya tatizo. Siku wewe ukiwa free happy kumuona kaka yako ameoa mwanamke mwenye m/watoto, na mimi na mtu mwingine, then hili tatizo litapungua sana...
Nasikia harufu ya damu Kati ya makomana na vaisley!!kaka mako punguza hasira...
You said it all.Ukipata mtoto kabla ya ndoa Mshukuru Mungu piga moyo kinds endelea kulea mtoto wako.Lakini unaanza kuruka ruka na wanaume tena wengine wako very committed na watu wengine ukidhani we ndio utaolewa.Mi nafikiri shida ya kwanza ni sisi wenyewe single moms,utakuta mtu una mtoto halafu hutulii ni kujrahisi tu kwa baba mtoto ksa tuu amekuzalisha unadhan itakuwa ni rahisi kwa mwanaume kukuoa wewe?? Mwingine ana mtoto halafu ana mdomo nyodo za kla rangi anazjua yeye akuoe nani?? Ngoja nkwambie mwanamke mwenzangu uliyeachwa solemba na mwanao, tulia,lea mwanao kama aktokea muoaj akakta umetulia tuli na mwanao akaamua kukuoa hakksha anaujua ukweli na awe tayar na wewe uache kujfanya ndo unajua sana kufuata matumizi cjui mawasliano na uyo dady wa mtoto na ikiwezekana umwambie hyo mwanaume ishu za mtoto awasliane na fadha hauc kabsaaa,... Mi cdhan kama dunia ya leo hii mtoto anaweza kuwa ni issue kbwa hvo mbona wengine tumeolewa jaman?
Stop fighting him hun, he ain't in your league na mwisho mtaishia kuchefuana bure, ona sasa kauli yako ya mwisho!
Proverbs 26:4 says, "When arguing with fools, don't answer their foolish arguments, or you will become as foolish as they are".
Methali 26:4 inasema, "Usimjibu mtu yeyote mjinga kulingana na upumbavu wake, ili wewe nawe usiwe sawa na yeye".
Don't let him take you down that road my darling.
swala la kuongelea watoto wakati mko kwenye mahaba ni kawaida kwa mwanamke yeyote ambae ana mtoto.....hata ukioa mkapata watoto mkeo anaweza kuwa hvyo wewe uko kimahaba mwenzako anaanza story za mtoto.....kwa hili naomba unipe sababu nyingine......
na pia unaweza kuoa na ukafariki ukamwachia mkeo watoto wadogo unadhani watakapokuwa hawawezi kumuuliza mama baba yetu yupo wapi.....mbona hatuchezi na baba yetu kama wakina james.....usimfikilie huyu dada aliyezaa bila kuolewa mfikilie hata mkeo kwa mifano niliyotoa hapo juu.....
!
!
bonge la topic...... nina mtoto na x wangu. Wakati nahaha kumrudisha tulee familia akawa ana hasira zaidi na mimi hivyo akawa anatoka na rafiki yangu wa utotoni ambae alisoma nae na nilishawahi kuwatoa out mara kadhaa kabla hawajaanza kudate. So wakati nahaha kwa simu of coz almost a year kuweka mambo sawa wao wakawa wanafanya yao. Mie nikabonyezwa na mtu kuwa ana mimba ya jamaa nikapewa hadi tarehe tarajiwa, nikampandia hewani nikamchana nikabadili namba ya simu. Yule mchizi akamwaga demu. Baadae nikawa napeleka matunzo kwa mtoto wangu miksa shule kali ya nursery nini pamba na matumizi bwena, akaanza kujirudisha rudisha,nisiendelee sana ila kuingia mahusiano na mtu mwenye mtoto iko complex sana. Umakini unatakiwa kabla kufanya maamuzi.