Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
jamani mbona sielewiiiiiiiiiiiiiiiiiii! mleta thread kawa nani tena?

ndio maana baada ya kupost anatoka online anaingia kwa ID nyingine?

JF inaumiza kichwa aisee! hahahaaa!!
miss neddy umeona huyu mtu wangu?

Excel vaislay =morg lol
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona sielewiiiiiiiiiiiiiiiiiii! mleta thread kawa nani tena?

ndio maana baada ya kupost anatoka online anaingia kwa ID nyingine?

JF inaumiza kichwa aisee! hahahaaa!!
miss neddy umeona huyu mtu wangu?

haha wengi tumeachwa dillema ni kama bomu limelipuka paa
 
Last edited by a moderator:
Multiple IDs at work......:smile-big:.

Ila lazima atakuwa kaharibu sehemu maana admins huwa hawaziunganishi hovyo hovyo hizo IDs hata kama wanajua.

aiseeeeeeee kumbeee,na ye si alikuwa anachangia humu...jmn hivi muda wa kuchat na multiple ID watu wanautoa wapy aisee
 
Najua wa kucheka atacheka na mwenye akili atakuwa na akili, Mimi sio Morg nami nimeshangaa vaislay akawa morg,so whatever you think of me, its fine.....
Mtapeana miwani hata darubini ikiwezekana

mhhhhhh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom