Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Kwani huyo Morg alichafua hali ya hewa?

Ila watu ni wapuuzi sana. Hivi unajua kuwa huyo Vaislay naye alichangia kwenye hii mada?

Yaani mtu huyo huyo aliyenzisha mada anaingia na (ma)jina jingine na kuanza kuchangia na kujijibu mwenyewe....

Duh! Kweli JF msitu.

hapo ndio nimeshangaa alikua sharp kureply na I'd zote

hiki ni kichaka waweza jikuta watongoza mtu mara mbili mbili
 
Hiii kaliii wajamenii mbona mbavu zinataka kuvunjikaaa loll
 
Na unaeza ukute unajitongoza mwenyewe!
Si ni kama kujijibu mwenyewe tuu!

Hahhhhahhha humu mtu anaweza akawa akawa anakusengenya kwa pm kumbe hajui humu una id 4 yaan akuambia wewe yule yule ila id tofaut rahajeee
 
Kuna thread moja keizer alimmention ikatokea id ya Morg akajifanya kumkalipia Morg, hadi rahaaa haya Dinazarde ukuje umwone shost yako

hahaha kumbe ye mwenyewe. ile thread nyingine alikua anasema akiona thread za morg hata kama amelala huwa anaamka anazipenda thread za morg kumbe ndio mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Najua wa kucheka atacheka na mwenye akili atakuwa na akili, Mimi sio Morg nami nimeshangaa vaislay akawa morg,so whatever you think of me, its fine.....
Mtapeana miwani hata darubini ikiwezekana
 
hahaa mbavu zangu mie
Jf hatareeeeee
Hahahahaha sasa kama alikuwa anamkaripia morg kwa kujikaribisha kwa mwanafunzi wangi Kaizer si ni sawa na kujiandikia PM kwa Id uji na kuisoma kwa Id hii?
Hehehehehe nimecheeeeeeka!
 
Last edited by a moderator:
Najua wa kucheka atacheka na mwenye akili atakuwa na akili, Mimi sio Morg nami nimeshangaa vaislay akawa morg,so whatever you think of me, its fine.....
Mtapeana miwani hata darubini ikiwezekana
we hem piga kimya!
Unajitekenya unacheka mwenywe!
Tuliza mzuka kwanza!
 
Najua wa kucheka atacheka na mwenye akili atakuwa na akili, Mimi sio Morg nami nimeshangaa vaislay akawa morg,so whatever you think of me, its fine.....
Mtapeana miwani hata darubini ikiwezekana

Hivii imekuwaje waje shostii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom