Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Ngoja nimpe ufafanuzi baby n = miss neddy.anakupenda sana
hahahaaa!! humjui baby N? Baby D je? baby h.o.e je?

inaonekana kumbe bado hamjanifaham vizuri nyie warrrrembo!

karibuni sana tarime aisee!

kwa mr pendapenda Excel usishangae ukawa ni wewe lol

Ha ha ha best huyu shemeji angu tuu
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimpe ufafanuzi baby n = miss neddy.anakupenda sana

Ha ha ha best huyu shemeji angu tuu
mwambie bibie akwamini bwana! hivi ikitokea ikawa ni kweli utafanyaje @ich? lols! ntahekaje kwa furaha siku hiyo miee!

cc charty! mchepuko wangu wa zamaaaaani! aisee old is gold!

hivi mlifikia wapi na kiwatengu wa mbebez?
 
hivi kumbe jina langu laanza na N eeeeeh Excel hafai anachombezana live niko hapa hapa ngoja nivute shuka maana i cant handle this
 
unalala kweli ama unaruka kwenda maisha club we mtoto!

unaniona mi under twenty kama mango g eenh?

ntakukata mguu huo! lol
 
hahahaha nalala zangu king hufai na club siendagi u know
 
Last edited by a moderator:
mwambie bibie akwamini bwana! hivi ikitokea ikawa ni kweli utafanyaje @ich? lols! ntahekaje kwa furaha siku hiyo miee!

cc charty! mchepuko wangu wa zamaaaaani! aisee old is gold!

hivi mlifikia wapi na kiwatengu wa mbebez?

Kiwatengu nlimwachia shansariee saivii nipo na richpol...! Naomba utupe ule wimbo wa john legend...all of meee
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom