Kumbe!!! Ngoja nifungue yangu nyingine
Heaven on Earth yuko single bibie!
haujajua kwani? lol, niko mbioni kupeleka mahari shs milioni nne!
ahahaa baby N ndo nani tena
Hiyo kesho uniite nijue bby N ni wewe or mwingine
wadachi washafanya yao chezea van pasi
mcheki....Code:ahahaanani tenaCode:baby N ndo
Watarejista upya
baba kijacho hayupo around akupe kampani
miss neddy naweza kukushughulikia kama mwenzako vaislay maana alizidi sana kumganda baby angu...lol
miss neddy naweza kukushughulikia kama mwenzako vaislay maana alizidi sana kumganda baby angu...lol
mi hukunitolea hata sumni kwa heaven wataka toa mnne
njoo na popcorn za ugiriki...