Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,688
Habari Wakuu.
Uchawi ni moja ya Mila mbaya katika Jamii nyingi. Pamoja na ubaya wake lakini yapo makundi ambayo yana uwezekano wa kutumbukia katika shimo hilo la Uchawi.
Moja ya Makundi ambayo yapo katika hatari ni;-
1. Single Mama
2. Watu wazima 55+
3. Wanawake waliokosa bahati ya kupata watoto.
Kwa nini nimeyahusisha makundi hayo.
Sababu ni kuwa makundi hayo ni moja ya Makundi yasiyojiamini hata kidogo.
Moja ya sababu ya watu kujiingiza katika Uchawi ni pamoja na;-
1. Kurithishwa
2. Kutokujiamini na kuhitaji Ulinzi.
3. Mapenzi ya mtu mwenyewe n.k.
Watu wengi huingia kwenye Uchawi kutokana na sababu ya pili yaani 'Kutokujiamini na kuhitaji Ulinzi'
Wanawake wengi ni Wachawi kutokana na kutokujiamini na woga wa kunyanyaswa.
Single Mama wengi wapo katika hatari hii kutokana na sababu kemu kemu.
Sababu kubwa ni kuhisi anaweza akanyanyaswa au kudhulumiwa haki yake na mtu na asiwe na lakufanya. Kwa namna hiyo Uchawi pekee ndio kimbilio.
Ikimbukwe kuwa wanawake wengi hawajiamini wakiwa wenyewe bila ya mwanaume. Ndio maana mume akifa katika nyumba mwanamke anaweza kuchanganyikiwa hata kama mume wake hakuwa na kitu au hata nguvu za kupambana.
Hii pia hata Kwa wazee/Wababu wengi hutumia Uchawi kama kinga Yao kuwadhibu wale wasioweza kuwapiga kimwili, kielimu na kimapato.
Ndio maana wazee wengi ni Wachawi kupita makundi mengine.
Kundi linalofuata ni Single Mama japo sio wote kutokana na sababu kama;
Baadhi yao wamesoma na wanakazi nzuri, baadhi yao wanawatoto wenye vipato vizuri hivyo hawana sababu ya kuwa wachawi.n.k.
Ila Kwa single Mama ambao walikimbiwa na Wachumba zao miaka ya 15-30. Hawa wapo kwenye nafasi kubwa ya kuwa Wachawi wakutupa katika Zama zijazo za uzeeni.
Nakumbuka nilipokuwa mdogo Mzee mmoja alinambia "Ogopa Uzee, Uzee ni hofu na majuto kila mara"
Single Mama wakiwa Wachawi huwa na Roho mbaya yenye visasi. Huharibu ndoa za vijana wachanga na huvuruga mauchumba ya watu. Hawa ni single Mama ambao Umri ni 45+.
Sasa hatari ni kuwa single Mama awe hajapata bahati ya mtoto ndio huwa janga kubwa kwenye jamii. Huyu huweza kuharibu Mimba za wanawake wenzake kichawi, huzitoa Mimba za wanawake wenzake hasa mabinti wadogo. Pia huweza kuua Kama sio kuharibu Akili ya mtoto.
Single Mama wa Umri mkubwa ni hatari sana. Usiombe akawa ni Mkwe wako alafu ni mchawi hakika maisha utayasikia Kwa wenzako. Kwanza hata mtoto wake uliyemuoa hatakuwa na adabu.
Kwa ufupi ni kuwa single Mama ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Mytake#
Wanaume tusiwazalishe dada zetu maana wanaathirika kisaikolojia. Mwishowe hujiingiza katika kulipa visasi kipindi wakiwa wanaingia uzeeni. Tuwapende tulio nao tusiwaache.
Na ninyi wanawake mkipendwa mpendeke sio mtu anakupenda unaleta habari za pesa. Pesa haina chakufanya Uzeeni.