Single Mama na hatari ya uchawi

Michaelray22

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,776
2,000
Habari Wakuu.

Uchawi ni moja ya Mila mbaya katika Jamii nyingi. Pamoja na ubaya wake lakini yapo makundi ambayo yana uwezekano wa kutumbukia katika shimo hilo la Uchawi.

Moja ya Makundi ambayo yapo katika hatari ni;-
1. Single Mama
2. Watu wazima 55+
3. Wanawake waliokosa bahati ya kupata watoto.

Kwa nini nimeyahusisha makundi hayo.
Sababu ni kuwa makundi hayo ni moja ya Makundi yasiyojiamini hata kidogo.

Moja ya sababu ya watu kujiingiza katika Uchawi ni pamoja na;-
1. Kurithishwa
2. Kutokujiamini na kuhitaji Ulinzi.
3. Mapenzi ya mtu mwenyewe n.k.

Watu wengi huingia kwenye Uchawi kutokana na sababu ya pili yaani 'Kutokujiamini na kuhitaji Ulinzi'

Wanawake wengi ni Wachawi kutokana na kutokujiamini na woga wa kunyanyaswa.

Single Mama wengi wapo katika hatari hii kutokana na sababu kemu kemu.
Sababu kubwa ni kuhisi anaweza akanyanyaswa au kudhulumiwa haki yake na mtu na asiwe na lakufanya. Kwa namna hiyo Uchawi pekee ndio kimbilio.

Ikimbukwe kuwa wanawake wengi hawajiamini wakiwa wenyewe bila ya mwanaume. Ndio maana mume akifa katika nyumba mwanamke anaweza kuchanganyikiwa hata kama mume wake hakuwa na kitu au hata nguvu za kupambana.

Hii pia hata Kwa wazee/Wababu wengi hutumia Uchawi kama kinga Yao kuwadhibu wale wasioweza kuwapiga kimwili, kielimu na kimapato.

Ndio maana wazee wengi ni Wachawi kupita makundi mengine.

Kundi linalofuata ni Single Mama japo sio wote kutokana na sababu kama;
Baadhi yao wamesoma na wanakazi nzuri, baadhi yao wanawatoto wenye vipato vizuri hivyo hawana sababu ya kuwa wachawi.n.k.

Ila Kwa single Mama ambao walikimbiwa na Wachumba zao miaka ya 15-30. Hawa wapo kwenye nafasi kubwa ya kuwa Wachawi wakutupa katika Zama zijazo za uzeeni.

Nakumbuka nilipokuwa mdogo Mzee mmoja alinambia "Ogopa Uzee, Uzee ni hofu na majuto kila mara"

Single Mama wakiwa Wachawi huwa na Roho mbaya yenye visasi. Huharibu ndoa za vijana wachanga na huvuruga mauchumba ya watu. Hawa ni single Mama ambao Umri ni 45+.

Sasa hatari ni kuwa single Mama awe hajapata bahati ya mtoto ndio huwa janga kubwa kwenye jamii. Huyu huweza kuharibu Mimba za wanawake wenzake kichawi, huzitoa Mimba za wanawake wenzake hasa mabinti wadogo. Pia huweza kuua Kama sio kuharibu Akili ya mtoto.

Single Mama wa Umri mkubwa ni hatari sana. Usiombe akawa ni Mkwe wako alafu ni mchawi hakika maisha utayasikia Kwa wenzako. Kwanza hata mtoto wake uliyemuoa hatakuwa na adabu.

Kwa ufupi ni kuwa single Mama ni hatari kuliko hatari yenyewe.

Mytake#
Wanaume tusiwazalishe dada zetu maana wanaathirika kisaikolojia. Mwishowe hujiingiza katika kulipa visasi kipindi wakiwa wanaingia uzeeni. Tuwapende tulio nao tusiwaache.

Na ninyi wanawake mkipendwa mpendeke sio mtu anakupenda unaleta habari za pesa. Pesa haina chakufanya Uzeeni.
 
Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
10,403
2,000
Mkuu utakuwa mganga wa kienyeji aki ya nani tena.ili ukijue kitu kwa undani zaidi lazima na wew uwe mhusika mkuu.

Mwandiko wako unaonyesha unadeal Na wanawake sana hususani hao unaowaita singo mamaz kwa kuwapa dawa za kuoga.

Kuna baadhi ya binadamu hawana shukrani hata kidogo.yani mama atelekezewe mimba tumbon,akuzae kwa uchungu,unyonye titi lake hadi liwe kandambili za batabata au umoja,akulee ,akusomeshe wew mpaka umejitambua halafu uje umtukane kwa kumwambia hajiamini ni ni mchawi!!!!

Kati ya hao singo mamz unaowapa hiyo miti shamba na hao wanaume walitelekeza mimba mpka zimekuwa watoto,nani hajiamini????

Mkuu ni kweli wanawake tunamapungufu pengine kuliko mtujuavyo lkni msitukashfu namna hiyo.haipendezi.wewe mwenyewe kama sio huyu mwanamke unaemwita hajiamin kukuzaa wew sidhani kama leo ungeleta uzi hapa.

Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matam.

It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
 
Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matatu.

It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
Aliyekuambia Uchawi ni matusi ni Nani?

Na kusema ukweli ni vibaya?
 
Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
10,403
2,000
Aliyekuambia Uchawi ni matusi ni Nani?

Na kusema ukweli ni vibaya?
Mkuu kama sijakosea wewe ndie yule uliyempa dada wa 60elfu lodge then ukampokonya juu kwa juu.na hiyo ni hela tu ilikutoa imani.angekwambia anamimba yako si ungetokea dirishani wew.

Mkuu bhana bora niishie hapa maana tunaweza lianzisha dude lingine likatembea ban la maana hapa
 
Michaelray22

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,776
2,000
Mkuu utakuwa mganga wa kienyeji aki ya nani tena.ili ukijue kitu kwa undani zaidi lazima na wew uwe mhusika mkuu.

Mwandiko wako unaonyesha unadeal Na wanawake sana hususani hao unaowaita singo mamaz kwa kuwapa dawa za kuoga.

Kuna baadhi ya binadamu hawana shukrani hata kidogo.yani mama atelekezewe mimba tumbon,akuzae kwa uchungu,unyonye titi lake hadi liwe kandambili za batabata au umoja,akulee ,akusomeshe wew mpaka umejitambua halafu uje umtukane kwa kumwambia hajiamini ni ni mchawi!!!!

Kati ya hao singo mamz unaowapa hiyo miti shamba na hao wanaume walitelekeza mimba mpka zimekuwa watoto,nani hajiamini????

Mkuu ni kweli wanawake tunamapungufu pengine kuliko mtujuavyo lkni msitukashfu namna hiyo.haipendezi.wewe mwenyewe kama sio huyu mwanamke unaemwita hajiamin kukuzaa wew sidhani kama leo ungeleta uzi hapa.

Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matam.

It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
Mbona unahangaika Mkuu.
Huo ndio ukweli huna haja ya kuhangaika
 
Michaelray22

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,776
2,000
Mkuu kama sijakosea wewe ndie yule uliyempa dada wa 60elfu lodge then ukampokonya juu kwa juu.na hiyo ni hela tu ilikutoa imani.angekwambia anamimba yako si ungetokea dirishani wew.

Mkuu bhana bora niishie hapa maana tunaweza lianzisha dude lingine likatembea ban la maana hapa

Mkuu naanzisha kampuni naomba uwe mtunza kumbukumbu za kampuni yangu. Si Kwa kunirejelea huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom