Single Mama na hatari ya uchawi

Single Mama na hatari ya uchawi

Mkuu naanzisha kampuni naomba uwe mtunza kumbukumbu za kampuni yangu. Si Kwa kunirejelea huko
Hahahahahahaha...muone kwanza.
Yani baada ya kutuponda ndo unajidai kutaka kuniajiri.

Haya hiyo kampuni utafungua lini nilete cv mkuu
Hahahahahahahaha...ila jombaa wewe ni muuaji IS wasubiri kidogo kha!
 
Hahahahahahaha...muone kwanza.
Yani baada ya kutuponda ndo unajidai kutaka kuniajiri.

Haya hiyo kampuni utafungua lini nilete cv mkuu
Hahahahahahahaha...ila jombaa wewe ni muuaji IS wasubiri kidogo kha!
Tuvumiliane tuu mkuu.

Ila sijasema single Mama ni Wachawi Bali wanahatari ya kuingia katika ulozi miaka ya 45+
 
Kwa jinsi ya utafiti wako inaonyesha ww ni mkuu wa uchawi au upo kitengo cha kupokea wanachama wapya.
Hii ipo kamili na sijakosea hata kidogo Mkuu.

Mshana Jr aulizwe kama hatasema kama nilivyoeleza
 
ni kuwa single Mama awe hajapata bahati ya mtoto ndio huwa janga kubwa, kama kichina!!!
 
Mkuu utakuwa mganga wa kienyeji aki ya nani tena.ili ukijue kitu kwa undani zaidi lazima na wew uwe mhusika mkuu.

Mwandiko wako unaonyesha unadeal Na wanawake sana hususani hao unaowaita singo mamaz kwa kuwapa dawa za kuoga.

Kuna baadhi ya binadamu hawana shukrani hata kidogo.yani mama atelekezewe mimba tumbon,akuzae kwa uchungu,unyonye titi lake hadi liwe kandambili za batabata au umoja,akulee ,akusomeshe wew mpaka umejitambua halafu uje umtukane kwa kumwambia hajiamini ni ni mchawi!!!!

Kati ya hao singo mamz unaowapa hiyo miti shamba na hao wanaume walitelekeza mimba mpka zimekuwa watoto,nani hajiamini????

Mkuu ni kweli wanawake tunamapungufu pengine kuliko mtujuavyo lkni msitukashfu namna hiyo.haipendezi.wewe mwenyewe kama sio huyu mwanamke unaemwita hajiamin kukuzaa wew sidhani kama leo ungeleta uzi hapa.

Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matam.

It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
Mbona povu mkuu? Jikite kwenye hoja
 
Back
Top Bottom