Single Mama na hatari ya uchawi

Single Mama na hatari ya uchawi

Mkuu utakuwa mganga wa kienyeji aki ya nani tena.ili ukijue kitu kwa undani zaidi lazima na wew uwe mhusika mkuu.

Mwandiko wako unaonyesha unadeal Na wanawake sana hususani hao unaowaita singo mamaz kwa kuwapa dawa za kuoga.

Kuna baadhi ya binadamu hawana shukrani hata kidogo.yani mama atelekezewe mimba tumbon,akuzae kwa uchungu,unyonye titi lake hadi liwe kandambili za batabata au umoja,akulee ,akusomeshe wew mpaka umejitambua halafu uje umtukane kwa kumwambia hajiamini ni ni mchawi!!!!

Kati ya hao singo mamz unaowapa hiyo miti shamba na hao wanaume walitelekeza mimba mpka zimekuwa watoto,nani hajiamini????

Mkuu ni kweli wanawake tunamapungufu pengine kuliko mtujuavyo lkni msitukashfu namna hiyo.haipendezi.wewe mwenyewe kama sio huyu mwanamke unaemwita hajiamin kukuzaa wew sidhani kama leo ungeleta uzi hapa.

Hakuna haja ya matusi tukala ban mkuu hahahaha hahahahahaha........maisha ya jf matam.

It begins with You mkuu.usikatae mimba ukaongeza namba za singo mamz mtaani.peace
Hahaaa yaaani mtoa madam kalenga penyewe has a na mkuki umekuchoma ndio maana mipovu Tote hii
 
unasema mbaya zaidi single mama awe hajapata mtoto ?? sijaelewa hapo nini maana ya (single mother)
 
Word
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha Sana
 
We na wew mganga
Hahaaa yaaani mtoa madam kalenga penyewe has a na mkuki umekuchoma ndio maana mipovu Tote hii
Wa kienyeji nyinyi!!
Vyovyote aniguse asiniguse..mmeziadi na nyie kuwapa singo mamz dawa za kuoga.

Muone kwanza we nae sijui umezukia wapi
 
Back
Top Bottom