Utakuwa singo mother si bureHalafu na nyinyi hao mlioteseka nao from 0-hero mnawaacha mnawafuata vichenchede mkiishiwa ndio mnarudi kwa ma hero wenu,mfyuuuu!!!!
Moja kati ya sababu ni hizi:
1. Umejirahisi sana, ukiwekewa kamtego unanasa, unachezewa, unaachwa.
2. Unachagua sana, ukiwakataa wapambanaji badala yake unangojea waliokwisha pambana kimaisha na kutoka.
3. Una mdomo (nyodo, kiburi) na tabia zingine zisizovumilika kwa wanaume (seems not ready to be submissive)
4. Hujichanganyi na watu wapya, uko na walewale wanaokujua inside out.
5. Njaa njaa zisizo na msingi. Mkibadilishana namba tu ushaomba vocha na mama ashaugua tayari.
6. Kukosa sifa za kuwa mke. Unasomeka kiviwanjaviwanja tu na kimatanuzi. Huoneshi kama una vision.
7.....
8.........
9.............View attachment 1194537
Wow ila wanawake ndiyo mnataka mkute wamekamilika tayari ni wife material kwa sababu wao ni malaika ila wanaume ndiyo binadamu si ndiyo??THATS THE NAKED TRUTH, huu ndio ukweli mtupu, lakini wengi watapinga, sababu moja ya single ladies kudate married men ni hii, hao masingles wanataka DESTINY UNCOVERED, badala ya kuchukua DESTING CONCEALED, yaani wantaka mume ambae amekamilika, badala ya kuchukua mwanaume na kumufanya a HUSBAND, wengi will attack me, but ukweli ni ukweli, ladies no man is a husband material, you take him and you make him one,
Basi sasa msiwalaumu wanawakeha ha ha sio hivyo mkuu,mahitaji ya tendo kwa mwanaume ni zaidi ya mwanamke
Wewe itakuwa singo baba,.sio bure pia.Utakuwa singo mother si bure
Miss yuuuuu😍😍
You are entitled to your own opinion.Kwa kifupi ni hivi mwanaume yeyote anayechepuka hastahili kuongea lolote kuhusu maovu ya wanawake!!
Nitaassume unatumiaga bibleWow ila wanawake ndiyo mnataka mkute wamekamilika tayari ni wife material kwa sababu wao ni malaika ila wanaume ndiyo binadamu si ndiyo??



Muda gani unauzungumzia, mtu yuko kwenye late 20s na 30s & above, muda upi bado hapo?Muda wao wa kuingia kwenye mahusiano haujafika.
Hawahitaji kuingia kwenye mahusiano kwa kufuata mkumbo tu au ili waonekane nao wapo kwenye mahusiano.
Muda anaoona kwake Ni sahihi.Muda gani unauzungumzia, mtu yuko kwenye late 20s na 30s & above, muda upi bado hapo?
Miss u moree wizzleMiss yuuuuu![]()
