Single ladies inawahusu

Single ladies inawahusu

Hahaaaaha... Ndo Mimi jamani

mi niliambiwa kwamba, eti mnaoanziwa na majina ya herufi A huwa ni wataaam!.... na wazuuuurii!!

btw, this is for you!!

1549289_597862720266761_1742821573_n.jpg
 
mimi ningeomba kufahamu kuhusu wewe umri,profesional yako na elimu yako
 
Punguza vigezo basi nimeishia form two

Just for love

Umekosa sifa mamaa, kama for just love njoo huku unywe juice ya utomvu wa papai ya kuondoa nuksi ya kupata mtoto nauza glass ni sh mia mbili tu wakati unasubiri mwenye vigezo vyako....
 
mi niliambiwa kwamba, eti mnaoanziwa na majina ya herufi A huwa ni wataaam!.... na wazuuuurii!!

btw, this is for you!!

1549289_597862720266761_1742821573_n.jpg
Mkuu hii kitu ndio unamhonga angelita au unamualika tu maana kama ukimwaga basi umepitiliza.... utawapata wengi sana...
 
Last edited by a moderator:
mi niliambiwa kwamba, eti mnaoanziwa na majina ya herufi A huwa ni wataaam!.... na wazuuuurii!!

btw, this is for you!!

1549289_597862720266761_1742821573_n.jpg

Wamekudanganya wengine ni wachungu mwarobaini una afadhari
 
Mkuu hii kitu ndio unamhonga angelita au unamualika tu maana kama ukimwaga basi umepitiliza.... utawapata wengi sana...

mkuu angelita ni rafiki tuu!! so akija kunitembelea hapo sio mbaya!!

mengine yakitokea, itakuwa ni makosa ya kibinadamu tu!!
 
Last edited by a moderator:
duh apo chacha mwaka ndo unaanza
 
Nakutakia kila la heri,ila ukimpata tushirikishane katika kuula huo ubwabwa. Mengine yahusuyo mchango nitakaa pembeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom