Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,014
Umri umegoma mweh!
Jamii forum ilinifanye nipate kazi mpaka nikapata ada ya chuo na sasa naamini itanipa mke,baada ya upweke wa muda mrefu kutokana na kazi, napenda kusema nimefungua ukurasa mpya wa mapenz kwa aliye serious, kiwango chake cha elimu kuanzia form 4, umri miaka 18 hadi 24, asiwe mlevi wala mvutaj, kwa uliyetayar tutaftane 0768500842,
Powa Excel heri ya mwaka mpya
ahsante....! kumbe ndo wewe jamani?
Kwikwikwi shoga si bora we umri unaweza kudanganyia....mie meishia la saba atiii ngoja niendelee kusubiri labda atakuja atakaesema elimu kiwango chochote !!