Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
SINGIDA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mshindi wa Kura za Maoni CCM Jimbo la Singida Kaskazini(kabla ya kufutwa), Haider Gulamali kwa tuhuma za kutoa Rushwa.
> Bwana Gulamali aliibuka kidedea kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi ili kusaka nafasi ya kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Lazaro Nyarandu aliyetimkia CHADEMA