SINGIDA: Mshindi wa Kura za Maoni CCM chini ya mikono ya TAKUKURU

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,567
2,000
SINGIDA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mshindi wa Kura za Maoni CCM Jimbo la Singida Kaskazini(kabla ya kufutwa), Haider Gulamali kwa tuhuma za kutoa Rushwa.

> Bwana Gulamali aliibuka kidedea kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi ili kusaka nafasi ya kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Lazaro Nyarandu aliyetimkia CHADEMA
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,762

Kama kawaida yao, sanaa nyingine hiyo
 
mapinduzi daima

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,582
2,000
Hivyo ndivyo tunavyotaka...awe CCM au CHADEMA au CUF au ACT kama ni mla na/au mtoa rushwa, kamata funga jela huko.

Comrade Nyani Ngabu
Rushwa ni kansa kwa Taifa au jamii yoyote
Pamoja na upungufu wake Rais wa kubinya uhuru wa kujieleza, lakini kwa kiasi fulani jamii inaanza kwenda kwenye njia fulani sahihi

Baada yake 2025, Rais ajaye (MZEE WA KUONDOKA NA WATU BAADA YA VIKAO VYAKE), Mungu akijaalia tunaamini atajitahd kufanya zaidi ya JPM kwa miaka mingine 5 au 10 ya utawala wake.

Tutampa support yote ili Wananchi wapate maendeleo na Nchi izidi kuwa na amani

Baada ya miaka 20 ya utawala wenye kufuata misingi, Nchi itakuwa kwenye njia sahihi...
 
allydou

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
1,581

Huyo mzee wa kuondoka na watu ndio nani
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,578
2,000
Siasa za Tanzania na rushwa ni Sawa na Mkate mbele za chai.

Any way, kamateni na fukuzeni uanachama watu kama hao na jela waende.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,481
2,000
SINGIDA: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mshindi wa Kura za Maoni CCM Jimbo la Singida Kaskazini(kabla ya kufutwa), Haider Gulamali kwa tuhuma za kutoa Rushwa.

> Bwana Gulamali aliibuka kidedea kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi ili kusaka nafasi ya kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Lazaro Nyarandu aliyetimkia CHADEMA
Kibaya zaidi huyu sio Mnyaturu.

Ni Mhindi fulani ivi nasikia ni wa Dodoma.

Hizi ni nyepesi nyepesi kutoka kwa mtu wa Singida kasikazini.

'' Dogo inabidi ujifanye hakuna kilichotokea!

Kwanza muhindi ameomba awe mkazi wa maghojoa ,
Na pili akishinda anajenga ofisi za Mbunge kny kata yetu maghojoa
Tatu,
Yeye hasubiri hela ya serikali, shida zetu atazimaliza yeye kwa pesa yake

Kuhusu maelekezo kutoka juu, sio kweli, wamefanya hivyo kuwahadaa watu wetu,
Nasikia ameletwa na kiongozi wa nje ya Wilaya yetu,
Halafu akanunua makatibu na weneze wa chama wa kata,
Wao wakawaita wapiga kura/ wajumbe wa mkutano mkuu wa kata zao na
Kuwapa maelekezo kuwa muhindi ndo apigiwe kura, wakapewa elf 10 kila mjumbe,
Wakamaliza kazi.

Kwa hiyo sisi na ndugu zetu ambao hawakuwa sehemu ya wapiga kura leo tumeuzwa na
Katibu wa chama wa kila kata
Katibu mwenezi wa chama wa kila kata

Hakuna matumaini sana kwa sababu chama taifa wanategemea kwa kiasi kikubwa mapendekezo ya chama wilaya na mkoa wetu.
Aliyemleta muhindi yuko connected na hivyo vikao , hivyo sioni kama kutakuwa na recommendation tofauti na matokeo.
Lakini tujipe moyo, huenda vyomba vya usalama vikapeleka ripoti yao na ikawa ya msaada kwetu.

Binafsi sina ubaya na muhindi kushinda kama angekuwa anafahamika kny jamii yetu , lakini nakataa mtu kuja leo na kuchukua ushindi the same day.
Je tujifunze nini ??"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom